Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,160
- 5,793
CrapNi ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Hakuna hospital jirani mpaka azalie home....?Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Nitumie picha zake na mpe namba yanguNi ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Vipi sahivi umeolewa? Au nilete mahariMsimstress,muda bado kabisa huo.
Kila mtu na wakati wake.
Me niligonga 30 mzee akaanza kununua picha za ukutani zimechorwa watoto eti wajukuu!
Na mimi nikifika home nasema waooh katoto kangu naona mzee ananikata jicho.
Muacheni wakati utafika tu.
mlete kwangu mkmi nitamuoa ,kuwa mke wa tatu.Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Mbona kama kweli mtaa kuna wadada hata ukiwasalimia wanajibu kwa maringo maringo au ndo kupandisha valueWana jiskia sana wakiwa njiani ila wana jilengesha mtandaoni sijui kwa nini