Dadangu ana miaka 26, lakini mpaka sasa hajaolewa. Familia nzima tuna wasiwasi kuwa atazalia nyumbani. Tufanyeje?

Dadangu ana miaka 26, lakini mpaka sasa hajaolewa. Familia nzima tuna wasiwasi kuwa atazalia nyumbani. Tufanyeje?

Kila siku kutukana PCM na JPM hapa jukwaani
Kumbe mnatoka family za ajabu ajabu!
 
Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?

Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Crap
 
Familia kama yako ndio zinafanya mabinti wanyanyasike kwenye ndoa na wengine mpaka kuuawa kwa vipigo na mawazo, maana unataka aolewe ili akuridhishe wewe na hiyo familia yake na sio furaha yake.

Vipi kama yeye hataki kuolewa??

Kaka jinga kabisa, huyo ni dada sijui wanao itakuaje aisee.
 
Mkuu kuweni makini asije akaleta mjomba hapo home.
Afu nyie ndo muanze kuleta.

Baba mtu yupp zake huko , toto likiwa kubwa anakuja kudai
 
Mwanaume unataka kuwa kuwadi wa dada yako au umeleft group?

Maana sisi wanaume wa kawaida huwa hatutaki mchezo kwa dada zetu
 
Msimstress,muda bado kabisa huo.
Kila mtu na wakati wake.
Me niligonga 30 mzee akaanza kununua picha za ukutani zimechorwa watoto eti wajukuu!
Na mimi nikifika home nasema waooh katoto kangu naona mzee ananikata jicho.
Muacheni wakati utafika tu.
Vipi sahivi umeolewa? Au nilete mahari
 
Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?

Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
mlete kwangu mkmi nitamuoa ,kuwa mke wa tatu.
 
Wana jiskia sana wakiwa njiani ila wana jilengesha mtandaoni sijui kwa nini
Mbona kama kweli mtaa kuna wadada hata ukiwasalimia wanajibu kwa maringo maringo au ndo kupandisha value
 
Back
Top Bottom