Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

Ni mtaalam kabisa wa lishe au Magumashi?
Yap nimesomea clinical nutrition and dietetics,
Na utaalamu kabisa yani hata kutibu , kutengeneza diets n.k
But sikuweza kumaliza chuo ,kutokana na changamoto za kiuchumi,hata hili ninalopambania Ili nikipata chochote kitu nijiendeleze hata open university ,maana Kuna course kama yangu ingawa wenyewe wanafanya distance mode,
Nitafute alafu niulize lolote kuhusu tiba lishe
 
Hata wewe ni member mkuu waweza nishika mkono mdogo wako,nisidhalilike
 
Ni kweli mkuu,mm nimetoa namba ila ID fake,hii inasaidia na kuipa utamumbulisho wa jukwaa huru la jamiiforum,
Maana kama tungekuwa tunaweka details zote lisingekuwa huru Tena mkuu,
Ukweli mm nipo seriously mkuu,nipo seriously kwelikweli sipo kwaajiri ya kuchunguza Id ya mtu.
Maana kuchunguza hakutasaidia lolote.
Lengo la kuja na alternative ID ,ni kuwa yawezaekana huyu anayeweza kunipa connection ni member -
-tuliyezoeana kiasi,(seriousness ikapungua)
-au tumekutana kwenye mbilinge za humu ,maana humu Kuna majukwaa ya siasa ,uchumi, intelligence,social
-pia yawezekana mtu akashindwa kuwa huru ,mkuu Sina maana mbaya,ila siku ukibanwa sehemu utanielewa
 
Haimaanishi ya kujisifu, kuandika shida kupitia ID kuu inakufanya usiwe huru tena na ID, ukirumbana hoja watu wanaleta screenshot za kulia shida, pia kama hapo kaweka namba ya simu so hawezi kuwa Anonymous tena....So sio kwamba anajitamba kwa hio ID.
Ubarikiwe mkuu
 
Msaidieni kijana wqcheni longolongo
Mm ningekusaidia dogo ila mishe zangu ni sait kubebq tofar na kaz ya kuuza usingiz yaan ulinzi. Na kwa ww naona haipendez una elimu nzuri naona haustahili hizi kazi.
 
Msaidieni kijana wqcheni longolongo
Mm ningekusaidia dogo ila mishe zangu ni sait kubebq tofar na kaz ya kuuza usingiz yaan ulinzi. Na kwa ww naona haipendez una elimu nzuri naona haustahili hizi kazi.
Hakuna nisichostahili mkuu,ndo mana nipo hapa
 
Msaidieni kijana wqcheni longolongo
Mm ningekusaidia dogo ila mishe zangu ni sait kubebq tofar na kaz ya kuuza usingiz yaan ulinzi. Na kwa ww naona haipendez una elimu nzuri naona haustahili hizi kazi.
Mkuu mm popote kambi kwa sasa mkuu,hzo za tofali nimebeba sana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…