Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

Ubarikiwe asante kwa moyo tu
 
Bro humu kuna watu siyo tu wametoboa,lakini pia hawako katika maisha ya kuwaza jambo la uchumi la Hapa duniani, labda baada ya kifo,
Kuna watu wanavitega uchumi vya kutosha,ilà pia kuna watu hali kama yangu mkuu
 
Weka vyeti pembeni nenda na fani za ufundi, katika hiki kipindi ambacho unajaribu ku survive..
Kazi zote Siku hizi ni connections na Baadhi lazima utoe chochote na hata Hivyo hazipatikani,
Nimepangana Dana ndugu ndo mana nipo Hapa ,labda ñaweza pata wakunishika mkono
 
Shida ya kuigiza maisha mtandaoni ukifikwa na ya kukufika unaionea aibu ID yako. Nikushauri weka wazi hiyo ID yako maarufu humu pengine itakuwa rahisi kwako kufikiwq kiwepesi, trust me
Ndo maana mimi sijawahi igiza na sitakuja igiza humu.Maana inaweza kuja siku nikahitaji msaada humu.

Wenye uwezo jamani mshikeni member mwenzetu.Mimi bado masikini na sina connection ningemsaidia kajieleza sana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…