Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

Shida ya kuigiza maisha mtandaoni ukifikwa na ya kukufika unaionea aibu ID yako. Nikushauri weka wazi hiyo ID yako maarufu humu pengine itakuwa rahisi kwako kufikiwq kiwepesi, trust me
asipo weka wazi ID yake maarufu awezi kisaidika?

labda ameona akiweka ID yake maarufu watu wanaweza wasimchukulie serious, au ID ina makando kando wadau watakosa nguvu ya kusaidia

wewe kama unaweza saidia fanya kusaidia sio kutaka kumpekenyua mwenzako, kama unataka kumjua vema mtafute kwa simu, ameweka namba yake hapo
 
Mbali na hayo yote una elimu gani ya vyuo vya ufundi?
Ndugu mm nimepita katika mfumo rasmi wa Kusoma from o levels,advance ,na chuo kikuu lakini nilishindw kumalizia chuo kutokana na changamoto za ada ata hvyo nipo on time frame,
Lakini mm naamini sana katika kujifunza,na kupambana ,
Ndugu nina skills za utundu katika computer na maswala ya umeme,

Maana huku mtaani unajichanganya popote
 
Back
Top Bottom