Dah! Netanyahu amesema kichapo kitaendelea hata kama Israel itabaki yenyewe

Dah! Netanyahu amesema kichapo kitaendelea hata kama Israel itabaki yenyewe

Lakini kwa nini wasifate huwo ushauri waliopewa wa kuhamia Kusini mwa Gaza si ni jambo la kuhama tu unaacha wanaume watunishane vifua. Mm naona nao raia wanajitakia tu ww umeambiwa hili ni eneo la vita ondoka bado umeng'ng'ana kubaki unataka nn?
Ww unadhani watu wana hama hama tu kiholela bila hakikisho kutoka pande zinazo pigana?
 
Attachments

  • 5537276-f044c9fe9ffbe9ef1ca7ac42f2643178.mp4
    2.8 MB
Amka utajikujolea ni nani hyo wa kumfunga Bibi? Yaani ulikoroge ww zen msala umwachie jirani.
Ww ni mpumbavu unadhani Israel ni kama nchi yako ambayo ukisha kuwa kada wa CCM una uhuru wa kufanya chochote na usiguswe?

Netanyau hata kabla ya hivi vita alikuwa na mashitaka ya rushwa dhidi yake yaliyo kuwa mahakamani, na bado ana mashitaka ya uzembe wa kushindwa kutambua shambulizi la hamas October 7.
 
Ww unadhani watu wana hama hama tu kiholela bila hakikisho kutoka pande zinazo pigana?
Israel inatoa hadi ulinzi wa hawo wahamiaji wanaelekea kusini mwa Gaza kule ndo kuna hakuna mapigano lakini bado wamekaza sharubu.

Unajua nasema hivi kwa sababu gani ni kuwa IDF wanatuhabarisha kuwa Hamas anatumia raia kama ngao yake kujilinda. Sasa kama raia wt watahamia kusini ambako wanahisi hakuna hawo hamas tutajua sasa mbivu na mbichi kama watashindwa kuwamaliza Hamas.
 
Ww ni mpumbavu unadhani Israel ni kama nchi yako ambayo ukisha kuwa kada wa CCM una uhuru wa kufanya chochote na usiguswe?

Netanyau hata kabla ya hivi vita alikuwa na mashitaka ya rushwa dhidi yake yaliyo kuwa mahakamani, na bado ana mashitaka ya uzembe wa kushindwa kutambua shambulizi la hamas October 7.
Kumbe sawa akili kisoda.
 
Hana hiyo jeuri ya kupigana vita bila ungaji mkono kutoka kwa wamagharibi.

Netanyau vita ikiisha tu anaenda jera ndio maana anajaribu kurefusha ili kusogeza siku za kwenda jera mbele..
Mataifa sita yalipochabangwa mwaka 1967, Israel alisaidiwa na Marekani?
 
Basi acha sasa kafiri Mzayuni akuzalishe si ulijifanya Basha umekutana na Kafiri sasa mwaka huu anazaa na ww.
“Enyi mlioamini! Msiwafanye mayahudi na wakiristo kuwa marafiki – wao kwa wao ni marafiki – na yeyote atakayewafanya marafiki basi yeye ni katika wao. Hakika Allaah haongoi watu madhalimu.” (05:51)
 
Vita inabidi ushinde kwa nguvu ulizo nazo sio kwa kutegemea kuonewa huluma kama anavyotaka hamas wakati huo hamas wao ndio walikuwa wakolofi.
Wapalestina wote ni Hamas? Kaa chini na fikiria nini kinaendelea bila kufuata ushabiki wa Dini au historia uliyolishwa. Utu hautegemei rangi au kabila. Unyanyasaji , ukandamizaji na ubaguzi haukubaliki. Tunatakiwa kuunga mkono jamii inayodhulumiwa kwa mabavu.
 
Dini yako ya juzijuzi itamfundisha nini mkongwe wakati unatumia biblia kufundishia uislamu?
Enyi mlioamini! Msiwafanye mayahudi na wakirsto kuwa marafiki – wao kwa wao ni marafiki – na yeyote atakayewafanya marafiki basi yeye ni katika wao. Hakika Allaah haongoi watu madhalimu.” (05:51)
 
Back
Top Bottom