SUdan tu hapo wanaua kama nn lakini hutosikia matamshi. Ajenda ya waarabu ni kumfuta israel pale ndo ajenda yao kubwa ndo maana unaona vikundi vingi vya kigaidi vimeanzishwa kupambana na Israel na mfadhili mkubwa ni Iran. Yaani badala yeye aingie yeye kama yeye anapitia mlango wa nyuma kufadhili ugaidi.
Lengo si ni kuifuta Israel kwny ramani ya Dunia ingia vitani ww si una maguvu jeshi kubwa zana za kivita za kutosha, katunishane msuli na mwanaume mwenzio siyo kuanzisha vikundi vya kigaidi mwisho wa siku watu hawaishi kwa amani kwa sababu ya upumbavu wako.