Ww unadhani watu wana hama hama tu kiholela bila hakikisho kutoka pande zinazo pigana?Lakini kwa nini wasifate huwo ushauri waliopewa wa kuhamia Kusini mwa Gaza si ni jambo la kuhama tu unaacha wanaume watunishane vifua. Mm naona nao raia wanajitakia tu ww umeambiwa hili ni eneo la vita ondoka bado umeng'ng'ana kubaki unataka nn?
Kwani vita kule iko ngapi ngapi hadi hii second halfMwenyewe nahisi hivyo, urusi atakuwa alianzisha hii vita Ili misaada kule Ukraine ipungue awe anajipigia tu.
KAFIRI UMEAMKA MAPEMA KULETA PROPAGANDA? VIPI WALE MAJASUSI WALIOFANYA KWENDA KUIJIFUNZA KILIMO MSHAWAOKOA?
Ww ni mpumbavu unadhani Israel ni kama nchi yako ambayo ukisha kuwa kada wa CCM una uhuru wa kufanya chochote na usiguswe?Amka utajikujolea ni nani hyo wa kumfunga Bibi? Yaani ulikoroge ww zen msala umwachie jirani.
Israel inatoa hadi ulinzi wa hawo wahamiaji wanaelekea kusini mwa Gaza kule ndo kuna hakuna mapigano lakini bado wamekaza sharubu.Ww unadhani watu wana hama hama tu kiholela bila hakikisho kutoka pande zinazo pigana?
Kumbe sawa akili kisoda.Ww ni mpumbavu unadhani Israel ni kama nchi yako ambayo ukisha kuwa kada wa CCM una uhuru wa kufanya chochote na usiguswe?
Netanyau hata kabla ya hivi vita alikuwa na mashitaka ya rushwa dhidi yake yaliyo kuwa mahakamani, na bado ana mashitaka ya uzembe wa kushindwa kutambua shambulizi la hamas October 7.
Kafiri vipi majasusi wameokolewa?"Nyagade" kuna hii video nimetazama, kumbe mnapaswa kupigwa hata huko hospitalini, Israel inapiga balaa.
https://www.jamiiforums.com/data/video/5537/5537276-f044c9fe9ffbe9ef1ca7ac42f2643178.mp4
Wana hasira na netanyahu balaa wamezoea kuwaonea waafrika lakini kwa wazayuni wameyatimba. Sudani wanauana kweli lakini hutosikia musilam au mwarabu yyt akitoa matamko.Baada ya hii vita waarabu na ndugu zao lazima watie adabu
Chuki zenu dhidi ya uislam na waislam zimetajwa ktk QuranWana hasira na netanyahu balaa wamezoea kuwaonea waafrika lakini kwa wazayuni wameyatimba. Sudani wanauana kweli lakini hutosikia musilam au mwarabu yyt akitoa matamko.
kuna janja janja sanaMwenyewe nahisi hivyo, urusi atakuwa alianzisha hii vita Ili misaada kule Ukraine ipungue awe anajipigia tu.
Mataifa sita yalipochabangwa mwaka 1967, Israel alisaidiwa na Marekani?Hana hiyo jeuri ya kupigana vita bila ungaji mkono kutoka kwa wamagharibi.
Netanyau vita ikiisha tu anaenda jera ndio maana anajaribu kurefusha ili kusogeza siku za kwenda jera mbele..
Vipi huko Sudan nasikia mnauana tu kama kuku shida nn?Chuki zenu dhidi ya uislam na waislam zimetajwa ktk Quran
na mwaka 1948 Israel akiwa na siku moja tu takea ajitangazie uhuru waliyatimba wakachezea.Mataifa sita yalipochabangwa mwaka 1967, Israel alisaidiwa na Marekani?
Umechukiwa au umeelezwa ukawasaidie Wasudan weusi kwenye mapambano huko Sudan?Acha hisia hasi ukubali ukweli.Chuki zenu dhidi ya uislam na waislam zimetajwa ktk Quran
“Enyi mlioamini! Msiwafanye mayahudi na wakiristo kuwa marafiki – wao kwa wao ni marafiki – na yeyote atakayewafanya marafiki basi yeye ni katika wao. Hakika Allaah haongoi watu madhalimu.” (05:51)Basi acha sasa kafiri Mzayuni akuzalishe si ulijifanya Basha umekutana na Kafiri sasa mwaka huu anazaa na ww.
Kwa hiyo kule Gaza kuna vita ya Quraan?“Enyi mlioamini! Msiwafanye mayahudi na wakiristo kuwa marafiki – wao kwa wao ni marafiki – na yeyote atakayewafanya marafiki basi yeye ni katika wao. Hakika Allaah haongoi watu madhalimu.” (05:51)
Wapalestina wote ni Hamas? Kaa chini na fikiria nini kinaendelea bila kufuata ushabiki wa Dini au historia uliyolishwa. Utu hautegemei rangi au kabila. Unyanyasaji , ukandamizaji na ubaguzi haukubaliki. Tunatakiwa kuunga mkono jamii inayodhulumiwa kwa mabavu.Vita inabidi ushinde kwa nguvu ulizo nazo sio kwa kutegemea kuonewa huluma kama anavyotaka hamas wakati huo hamas wao ndio walikuwa wakolofi.
Enyi mlioamini! Msiwafanye mayahudi na wakirsto kuwa marafiki – wao kwa wao ni marafiki – na yeyote atakayewafanya marafiki basi yeye ni katika wao. Hakika Allaah haongoi watu madhalimu.” (05:51)Kwa hiyo kule Gaza kuna vita ya Quraan?
Dini yako ya juzijuzi itamfundisha nini mkongwe wakati unatumia biblia kufundishia uislamu?Kafiri ushaenda kukufuru leo J2?
Enyi mlioamini! Msiwafanye mayahudi na wakirsto kuwa marafiki – wao kwa wao ni marafiki – na yeyote atakayewafanya marafiki basi yeye ni katika wao. Hakika Allaah haongoi watu madhalimu.” (05:51)Dini yako ya juzijuzi itamfundisha nini mkongwe wakati unatumia biblia kufundishia uislamu?