Dah! Netanyahu amesema kichapo kitaendelea hata kama Israel itabaki yenyewe

Enyi mlioamini! Msiwafanye mayahudi na wakirsto kuwa marafiki – wao kwa wao ni marafiki – na yeyote atakayewafanya marafiki basi yeye ni katika wao. Hakika Allaah haongoi watu madhalimu.” (05:51)
Washauri Hamas watangulize hizo "satanic verses" kwenye mapambano na Israel labda zitawaokoa na kipigo.
 
Hajipendi.Watamkamua puru hadi afe.
 
Ila unaunga mkono ubakaji, utekaji na udhalilishaji wa kijinsia uliofanywa na Hamasi 7/10?
 
Hii Israel inayo shambulia Ambulance,matenki ya maji na sora panel ndo ana weza kulinda usalama wa raia?

Alafu kingine Israel ina historia mbaya juu ya hilo kwa sababu Israel mwaka 1947 alisha wahi kutumia njia hiyo kupora ardhi za wapalestina waliwaambia wahamie ukanda wa gaza ili vita ikiisha watarudi mwisho wa siku Israel ikapora ilo eneo lao ambalo kwa sasa ni kusini mwa Israel.

Hao raia wa gaza unao waona ni zao la wapalestina walio fukuzwa mwaka 1947 kwa njia hiyo hiyo ya kurazimisha watu wahame.
 
Mataifa sita yalipochabangwa mwaka 1967, Israel alisaidiwa na Marekani?
Kwanza jifunze historia ili uache kulishwa matango pori , Israel hajawahi kupigana na mataifa sita bali alipigana na mataifa 3 .

Na pia Israel ilianzishwa na Uingereza na Marekani sasa ulitegemea waiache ifutwe hali ya kuwa ifutike hali yakuwa waliianzisha kwa malengo na masilahi yao?
 
Mwaka 2005 rasmi Israel alijitoa Gaza na kwaachia Hamasi wajutawale.

Pili izo ambulance badala zitumike kusafirishia wagonjwa zinatumika na Magaidi kuhamishia siraha na kukimbia pale kibano kinapozidi. Israel inajitahid sana kupunguza casualty kwa raia wasio na hatia lakini Hamas wanawazuia raia wasihamie kusini mwa Gaza.

Kuna clip jana nimeiona raia wanakimbia kutoka kwny hiyo hospital ya Shifa lakini hamasi wakawazui na kuwarudisha ndani. Sasa hapo mbaya ni nani huyu anayekuambia uondoke eneo la hatari au yule anayekulazimisha usiondoke?
 
Hata ukipunguza yawe matatu nani aliibuka mshindi?
 
Wewe ndiye ulikuwa mratibu wa vita?Acha ujuajiujimga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…