Dah! Netanyahu amesema kichapo kitaendelea hata kama Israel itabaki yenyewe

Waarabu wote dunian wanashindwa kwenda kuwasaidia magaidi wa hamasa mpk Israel anakaribia kuitwaa gaza yote wamebaki kupiga kelele tu mitandaoni hii ni aibu
 
Mbona aliipa jeuri Ukraine na sasa hivi ameikimbia na kuhamia kwa Israel?
Marekani ni superpower halisi anao uwezo kushiriki vita kuitetea Ukraine, Israel na Taiwan kwa wakati mmoja. Hata hiyo Urusi inaujua msaada wa Marekani.

Sio hiyo Urusi ambayo kisa inapigana na jirani ikashindwa kuitetea Armenia kwenye vita yake na Azerbaijan. Mwisho wa siku Armenia imenyoosha mikono kwa mgogoro wa zaidi ya miaka 30
 
Israel Ikibaki yenyewe hakuna kitu wataweza kufanya, hawana uwezo wa kupigana hata na mungiki wakibaki wenyewe.

Mabwana zao Marekani na Ulaya wakiacha kuwapa silaha na misaada ya kifedha, hakuna kitu tena.

Zionists wana kibri sana, na chuki mbaya sana dhidi ya Uisilamu, sasa anajionesha kwamba anaweza alone bila msaada, wakati tayari ameshasaidiwa na marekani.
 
Haaa mbona sasa hivi Zere yupo analia lia na kulalamika kuwa sasa hivi Marekani imepunguza misaada na kuipeleka Israel?

Kuhusu Armenia na Azebaijan hata mwaka 2019 Urusi hakuingilia kati vita hiyo pamoja na kuwa hakuwa vitani,kwa sababu Urusi kwa sasa ana maslahi zaidi ya mara 3 nchini Azebaijan kuliko Armenia.

Alafu mbona Urusi kaweza kifurusha Africa Magharibi Ufaransa wakati huu ambao yuko vitani?😀😀😀😀
 
Ulumbuke Israel wana ule uchawi( nuclear) nchi za kiarabu mkimvamia anawalipua, inashangaza siku hizi inatembea na kibeg kidogo ambacho anakuwa nacho mlinzi wake, inawezekana kina remote ya kubonyeza kitufe Cha nyuklia.
Nyuklia hata Pakistan wanazo!
 
Hana hiyo jeuri ya kupigana vita bila ungaji mkono kutoka kwa wamagharibi.

Netanyau vita ikiisha tu anaenda jera ndio maana anajaribu kurefusha ili kusogeza siku za kwenda jera mbele..
Kajifunze kwanza kuandika kabla ya kuunga mkono ugaidi. Ndio shida ya kusomesha watoto madrasa na kuacha elimu inayoweza kuwasaidia wakiwa hapa duniani. Bure kabisa.
 
Kajifunze kwanza kuandika kabla ya kuunga mkono ugaidi. Ndio shida ya kusomesha watoto madrasa na kuacha elimu inayoweza kuwasaidia wakiwa hapa duniani. Bure kabisa.
Ni kweli kabisa sijui kuandika kwa sababu kipindi ww unaenda shule kujifunza kuandika ,mm nilikuwa nashinda na mama yako kwenye geto lenu mlilo kuwa mmepanga nampelekea moto.
 
Israel Ikibaki yenyewe hakuna kitu wataweza kufanya, hawana uwezo wa kupigana hata na mungiki wakibaki wenyewe.

Mabwana zao Marekani na Ulaya wakiacha kuwapa silaha na misaada ya kifedha, hakuna kitu tena.
Kwahiyo sahivi wewe na taifa lako ndio mnapigana gaza kwa niaba ya Israel au ni msaada gani umetoa au taifa lako kutoa kwao🤣🤣🤣
 
Kama wanavyotoa sasa et ostaz🤣🤣🤣🤣🤣
Sa vipi we lini utaingia Uislam dini ya haki wenzako wakristo wananza kuingia wameona vipi watu wa Gaza wanamuogopa Mungu tu na wana sura.



View: https://youtu.be/zT4hhE1Rgk0?si=EoZqxN-A2OEGsebx
Afu unanikumbusha ukiwaita Panya Hamasi wakati wanateka Mageneral na Ma Brigadier vipi hapo?
Je wananchi wa Israel wakisikia tu sound siren wanakimbia wote kwenye ma shelter pamoja Natanyahu, hao tuwaite Panya wa mapanya au 😆


Lana inanza mfata America leo hi bada ya week iliopita chemica plant kuripuka na kuna godaoun lakuweka silaha pia liliripuka na leo hi Los Angeles 👋


View: https://youtu.be/3bCF3WTF9Ho?si=JokPN3MGiYubWKu7
 
Nikome kabisa ostaz, mimi sio mlala watoto na wanawake wazee kama mtume wenu mohammad🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…