Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,500
Source: Russia Defense Ministry [emoji134][emoji2359]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Source: Russia Defense Ministry [emoji134][emoji2359]
Mtu mzima unapokuwa muongo hata haipendezi.Tupunguze ukari wa maneno!
Mimi Sina upande ktk huu mgogoro lakini tusubiri tuone hatima ya haya ndani ya masaa kadhaa!
Nina Jamaa yangu yupo Frontline Kama doctor upande wa Ukraine, anasema Tangia Tarehe 09/09 mpaka Leo Jeshi la Ukraine limepoteza Mamluki zaidi ya 4000 na majeruhi 13,000 na zaidi. Ila hali ni ngumu ni Kama wanajitoa mhanga.
Hawa ndiyo wanafanya wahaya wote waonekane wana majigambo yasiyo na maana.Eti una dokta upande wa ukraine, hivi ninyi wahaya akina kalokola mtaacha lini sifa?
HahaahahahhahahaHiyo ndio tafsiri ya vita. Vita sio nzuri hata kidogo. Huyo jamaa yako angekupa na Takwimu za Urussi (Madaktari huweza kuwasiliana hata kama ni upande mwingine) ili kupata uhalisia zaidi. Zingatia kwamba Kitendo cha askari wa Urussi kutupa silaha na kukimbia ni ishara wazi na ushahidi kwamba wamezidiwa mno i.e. wameona Vifo ni vingi sana na majeruhi ni wengi mno. Kwa hiyo wamelazimika (sio hiari) kujiokoa kwa kukimbia hata bila viatu na hilo ni agizo la amiri jeshi mkuu wa Urussi.
Shukrani mkuu kwa kutuletea taarifa ambazo zime nyooka, si hilo tu bali hazijaongezewa chumvi wala chachandu.
Taarifa za Urusi zingekua kweli yaani leo Ukraine ingekua shamba.....tangu vita vianze wamekua wanatoa updates za ajabu sana....mpaka sasa wamelipua HIMARS zaidi ya 100
Ahsante sanaHizo ni propaganda, usiulize ni nani, ni vipi, ni lini, ili iweje?
Kwa nini unapenda penda kuweka chumvi kwenye matukio haya ya kivita nchini Ukraine - mfano:ni wapi Jeshi la Urusi liliwahi kusema eti limeharibu HIMARS systems 100-wapi? leta ushahidi, si ajabu huna kabisa!!
Jeshi la Urusi kwenye media briefing ya kijeshi (BDA) mara nyingi uzungumzia roketis za HIMARS zilizo kuwa intercepted and destroyed by Russian air defense systems na kweli siku hizi Rockets za HIMARS zinatunguliwa kwa wingi baada ya Urusi ku-figure out jinsi ya kudhibiti.
Cha ajabu nyinyi mnageuza taarifa za jeshi la Urusi kimaksudi na kudai eti Urusi imesema imeharibu HIMARS lauching system zaidi ya 100 lengo la usanii huu wa kwenu mnataka jeshi la Urusi lionekane ni waongo, hamtaki kuwaeleza watu ukweli kwamba kinacho zungumziwa ni kutinguliwa kwa rocket za HIMARS na sio launching systems.
Hahaa mtu kama wewe kukuibia ni rahisi sana just mention Russia in a goodwill nakukamata.Shukrani mkuu kwa kutuletea taarifa ambazo zime nyooka, si hilo tu bali hazijaongezewa chumvi wala chachandu.
Taarifa za Urusi zingekua kweli yaani leo Ukraine ingekua shamba.....tangu vita vianze wamekua wanatoa updates za ajabu sana....mpaka sasa wamelipua HIMARS zaidi ya 100