Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Hizo ni propaganda, usiulize ni nani, ni vipi, ni lini, ili iweje?
Jamaa huyu anashangaza sana - sensational news 24X7
Hapo wazee wa Magharibi wanajibebea tu kwenda kukisoma kwa undani zaidi
Si ujifanya vinara wa technolojia na uwezo wa kufa mtu sasa kwa nini wanakwenda kuvizia kifaa. ambacho hakitakuwa na umuhimi wowote kwao ndio maana Warusi hawakuangahika kwenda kukifuata baada ya ndege kuanguka - mdio maana walikiacha peupe bila ya kuki-retrive wakati walikuwa na helicopters za kwenda kukifuata - NATO wali hilo hawalifikirii kabisa as far as they are concern wanajifariji kwamba finally wame come across a treasure trove!!