Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,500
Naona umeamua kukaza fuvu. Bhas sawa hiyo ni fuel tank ambayo inakaa mwishoni mwa bawa la ndegeHii ni kama ulitotuma mwazo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona umeamua kukaza fuvu. Bhas sawa hiyo ni fuel tank ambayo inakaa mwishoni mwa bawa la ndegeHii ni kama ulitotuma mwazo?
Bakishaga akili ya kuvukia zebraNaona umeamua kukaza fuvu. Bhas sawa hiyo ni fuel tank ambayo inakaa mwishoni mwa bawa la ndege
Naona hapo ni Mwisho wa bawa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bakishaga akili ya kuvukia zebra
Mkuu umemtoa nishai sana huyo jamaa safi sana.Naona hapo ni Mwisho wa bawa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe ndiye anayetu-postia picha?, mi nilidhani ni private media houses!Inaonekana Zele anatumia picha kushawishi aendelee kupata silaha!
Private media house ndio wako Frontline?Kumbe ndiye anayetu-postia picha?, mi nilidhani ni private media houses!
Hawajui yuko wapi, anaishi makazi ya siri na hata akitanga kutokea hadharani hatokei yeye, bali, 'DOUBLE", najua kuwa watu wamemchoka ndo maana kwa sasa anaangamiza matajiri kwakuwa anajua kuwa wanaweza kufadhir uovu dhidi yake. Orodha ya matajiri aliowaua toka vita ianze ni kubwa. Yupo aliyeuawa pamoja na familia yake yote akiwa mapunzikoni nchi za njeHawa wanajeshi wangeamua kumgeuka Putin wammalize na vita iishe!
Urusi imeshapoteza askari wake zaidi ya 30,000 ktk ardhi ya nchi waliyovamia~!
Hakuna ujinga kama huu, peleka watoto wako na ndugu zako wakapigane!
Wewe wasema,ila mrusi aliweka malengo yake na akasema lazima yafikiwe!Ndani ya siku tatu yatafikiwa tu...takbirr...Kyev itachukuliwa
Wewe huwezi kuyajua malengo ya Russia zaidi ya kuwa msambazaji wa propaganda humu jukwaani!Ndio tunasubiri operesheni ya wiki ya kuondoa uongozi wa Ukraine...huku wanajeshi wa Urusi wakitoroka kwa baiskeli.
Hayo ya wiki Moja umesema wewe,Endelea kupiga propaganda!Uzuri Russia yeye hana muda Huo zaidi ya kazi kaziYa wiki moja ya kuparamia Kyev, tuendelee kuwasubiria...takbir akbar akbra
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizo updates Huwa haziambatani na picha,acha uzushi!Nenda kule Jamii photo ukaone namna Ukraine anavyotoa picha za maiti!
You wish,subirini ambush halafu kimya kimya bila kelele kama hizi mnazoleta![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
punguza mahaba mzeeeee kipigo ni kizito mjiandae tu kutangaza rasmi kurud nyumbn
Hiyo siku 3 alisema nani na wapi?Tupe link tuone mamlaka ya Russia ikitangaza Hilo!Kwanza mlisema siku tatu, mimi nimewaongeza wiki moja....kwa uwezo wa akbar akbar
Leta link,maana tokea wiki ya kwanza ya uvamizi watu tumeomba link wa habari hiyo ilitangazwa wapi ila hakuna aliyewahi kujibu Hilo!Mwezi wa 7 huu Bado unakuja na story wiki ya kwanza ambayo Haina uthibitisho,she on you!Hukumskia kumbe unamuabudu bila kufuatilia anachikisema...takbirr