Dah! Urusi wameachia hiki kifaa kikachukuliwa kizembe sana, hii hasara sasa

Ukraine anahangaika sana na picha picha,Kuna kitu hapo!
Mkuu leo mataifa yenye nguvu zaidi duniani Marekani, Ujerumani na England yamekiri kazi Ukrean imefanyika vizuri sana na inaendelea kwa uzuri zaidi na wamehakikisha wataongeza nguvu tena zaidi, kauli hii imekuja baada ya hizi wiki mbili tatu za nguvu Mrusi alivyofurushwa Khakiv kwa aibu na kutelekeza mitambo yake mbali mbali ikiwemo ile ya howitzers, tanks na drones system na nyingi sana zimekuwa captured
 
Russia mbona hahangaiki na picha?Hata wakati anachukua maeneo huko Donbas,hakutuwekea picha za mabaki ya Ukraine!
Inaonekana Zele anatumia picha kushawishi aendelee kupata silaha!
Huenda Russia naye angefanya propaganda ya picha,hali ingekuwa tata sana!
 
1.Kwa faida ya nchi lakini vita vingine ni ubabe wa kijinga wa kiongozi mjinga.
So kwann ufe familia yako iteseke kwa upumbavu,wakati yeye familia yake inakula bata Paris.
2.Kupigana kuilinda nchi

Ama ile ya kumkingia kifua anayefisadi nchi kwa manufaa yake na famila yake halafu anawaacha mnaomsaidia kufikia hayo malengo yake ya kifisadi malofa ama kuwachia makombo ambayo yanaanguka kwenye meza yake. Ujinga mtupu.
 
Russia mbona hahangaiki na picha?Hata wakati anachukua maeneo huko Donbas,hakutuwekea picha za mabaki ya Ukraine!
Inaonekana Zele anatumia picha kushawishi aendelee kupata silaha!
Huenda Russia naye angefanya propaganda ya picha,hali ingekuwa tata sana!
Mkuu Russia anaonyesha picha na yeye ndio bingwa wa propaganda lakini alifanyiwa mtego wa mitambo feki yeye akaenda kupiga na kutangaza eti ameshika HIMARS ambazo Ukrain walikuwa wanazitumia kutoka US baada jamaa wakamcheka sana kumbe zilikuwa fake.,

Angalia mnyama huyu urusi jana walimtelekeza
fa6a93f0-b37e-4fe7-b19b-1a70acaaf62f.jpg
 
Mkuu Russia anaonyesha picha na yeye ndio bingwa wa propaganda lakini alifanyiwa mtego wa mitambo feki yeye akaenda kupiga na kutangaza eti ameshika HIMARS ambazo Ukrain walikuwa wanazitumia kutoka US baada jamaa wakamcheka sana kumbe zilikuwa fake.,

Angalia mnyama huyu urusi jana walimtelekeza
View attachment 2355331
Ukraine wakikamata au kuua askari wa Russia basi lazima wapige picha na kusambaza mitandao,Kuna baadhi ya picha mpaka zinakiuka maadili ila zinaletwa na askari wa Ukraine!
Ila Ukraine anavimba tu,lakini hasara halisi itajulikana vita ikiisha!
 
1.Kwa faida ya nchi lakini vita vingine ni ubabe wa kijinga wa kiongozi mjinga.
So kwann ufe familia yako iteseke kwa upumbavu,wakati yeye familia yake inakula bata Paris.
2.Kupigana kuilinda nchi
Jeshi halilazimishi mtu kujiunga . Ukijiunga jeshi lazima ufuate amri za amri jeshi mkuu wa nchi hii ni kwa majeshi yote duniani ukikiuka utakuwa umefanya uahini. Jeshi sio sehemu ya kuwenda kuleta utoto kama mnavyo changia hapa . Wanajeshi wa Urusi hawapigani kwa ajili ya Putin bali wanapigania Urusi.
 
Ukraine wakikamata au kuua askari wa Russia basi lazima wapige picha na kusambaza mitandao,Kuna baadhi ya picha mpaka zinakiuka maadili ila zinaletwa na askari wa Ukraine!
Ila Ukraine anavimba tu,lakini hasara halisi itajulikana vita ikiisha!
Ukiona Ukrean wana muda huo kuonyesha mafanikio yao kwenye vita kama hii ambayo Mrusi kabla alijulikana kama super power jua mafanikio ni ya kupigiwa mfano kwa hawa makamanda wa Ukrean ambao wamebobea katika kulikomboa taifa lao na ardhi yao kutoka kwa wavamizi na madikteta waliokubuhu kule Russia.
 
Hata sijui umeelewa nilichoandika?Maana Naona umejibu tofauti na nilichoandika!
 
Jeshi halilazimishi mtu kujiunga . Ukijiunga jeshi lazima ufuate amri za amri jeshi mkuu wa nchi hii ni kwa majeshi yote duniani ukikiuka utakuwa umefanya uahini. Jeshi sio sehemu ya kuwenda kuleta utoto kama mnavyo changia hapa . Wanajeshi wa Urusi hawapigani kwa ajili ya Putin bali wanapigania Urusi.
Yafaa nini kupigana then mnakaa mnazungumza vita vinaisha kwann msizungumze kabla ya vita.Uoni huo ni ubabe usio na akili.
So ukifa familia yako nani ataitunza.
Kwann ufe wakati escape chance ipo? Bora nikawe mkimbizi
 
Russia mbona hahangaiki na picha?Hata wakati anachukua maeneo huko Donbas,hakutuwekea picha za mabaki ya Ukraine!
Inaonekana Zele anatumia picha kushawishi aendelee kupata silaha!
Huenda Russia naye angefanya propaganda ya picha,hali ingekuwa tata sana!
Wakati kila siku anatoa military briefing na msemo wake wa siku zote wa its going according to plan. Ninavyosema hivi, hata leo jioni Wizara ya Ulinzi itatoa updates na kuonyesha picha. Unazungumzia Urusi gani wewe
 
Kumbe wewe ndio ukajua hivyo,basi pole maana hujui vita na changamoto zake!
Ukraine ushindi Bado ni safari ndefu!

Dunia yote ilijua hivyo ikiwemo nyie waarabu, lakini sasa hivi Mrusi anapelekeshwa na kuachia vifaa akikimbia kama mwizi.
 
Wakati kila siku anatoa military briefing na msemo wake wa siku zote wa its going according to plan. Ninavyosema hivi, hata leo jioni Wizara ya Ulinzi itatoa updates na kuonyesha picha. Unazungumzia Urusi gani wewe
Hizo updates Huwa haziambatani na picha,acha uzushi!Nenda kule Jamii photo ukaone namna Ukraine anavyotoa picha za maiti!
 
Hako ni ka External fuel tank na tena ni empty, sasa la nini kama internal tanks zipo full
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Jamaa wachekesha kweli, hilo tank hata pikipiki haina tank dogo hivo
 
Dunia yote ilijua hivyo ikiwemo nyie waarabu, lakini sasa hivi Mrusi anapelekeshwa na kuachia vifaa akikimbia kama mwizi.
Endelea kujifariji,Urusi alishasema malengo yake lazima yatimie Ukraine!
 
Back
Top Bottom