Dah! Urusi wameachia hiki kifaa kikachukuliwa kizembe sana, hii hasara sasa

Dah! Urusi wameachia hiki kifaa kikachukuliwa kizembe sana, hii hasara sasa

Kwa namna huwa mnamuabudu Putin kuzidi hata mtume wenu, nilijua Urusi hawezi kusogeshwa hata ekari moja.
Kumbe wewe ndio ukajua hivyo,basi pole maana hujui vita na changamoto zake!
Ukraine ushindi Bado ni safari ndefu!
 
Hii inakumbusha vita ya Israel na misri, israeli alikuwa kazidiwa akaja mzee wa rainbow akatia mkono mwarabu akala kibano
 
Wanajeshi wa Urusi sasa hivi hawajali, wanatoroka na kuacha vitu vya gharama sana almradi wanusuru maisha yao, nafikiri mpaka hapo, mataifa yote duniani yana cha kujifunza....
Hiki kifaa hatari cha kukanganya au kuzuia miale au signal jamming kimeachwa Ukraine wajichukulie tu..

AA11KIx4.img


Ukrainian forces have been capturing significant amounts of Russian materiel of various kinds as they keep pushing eastward and southward as part of their ongoing counteroffensives. These spoils of war now reportedly include a relatively intact example of an RTU 518-PSM self-protection jamming pod. This pod is associated with the latest version of the larger Khibiny-U electronic warfare suite used on the Su-30SM Flanker-H, and its capture holds potentially great intelligence value.

Pictures of the front end of the pod in question began circulating on social media earlier today. It was reportedly discovered among the wreckage of a Russian Su-30SM, with the serial number RF-81773 and bort number Red 62, that was shot down earlier in the conflict near the city of Izium (Izyum) in Ukraine's northeastern Kharkiv region. It would appear that Russian forces had made no serious attempt to locate what was left of the aircraft, and remove or destroy it to prevent their capture before the area was recently liberated.
Hako ni ka External fuel tank na tena ni empty, sasa la nini kama internal tanks zipo full
😅😅😅😅
 
Putin atakufa siku si nyingi. Huwezi kwenda kuua watu wasio na hatia, watoto wa shule, wagonjwa mahospitalini, wazee na walemavu wasio na hatia, Kisha ukaaachwa hivi hivi. Ila kabla hajafa Cha moto atakiona.

Hakuwa na sababu yoyote ya kuafanya unyama huu zaidi ya ubabe na ubinafsi

Labda ahame nchi aka slimu kama mwenzake Iddi Amini.
 
Ndilo tatizo la ukomunisti na ujamaa. Unakufa for no justfiable cause, why? tupa takataka kule kimbia jisalimishe kwa adui maisha yaendelee. Wao familia zao ziko Paris, NewYork etc....
Russia sio taifa la kikomunisti . ukomunisti ulikufa Russia tokea 1990s.
 
Hehehe jamaa kumbe upo, tuliwaonya humu mkaendelea kumuabudu Putin, leo hii mnaachwa mayatima maana hata Mchina aliogopoa kufanya chochote licha ya kushikwa masharubu pale Taiwan.
Wewe ulitaka China afanye nini ?
 
Russia alikua akifanya mazoezi ya pamoja na China anadhani ndio vita yenyewe yale ni mazoezi saa hizi ameanza kununua drone Iran na Korea Kaskazini ameishiwa mbinu kabisa na amejidharirisha na pia imekua funzo kwa mataifa mengine makubwa kutofanya huo utoto alioufanya Russia yeye katumia miezi saba kuchukua maeneo naona Ukraine siku tano kachukua eneo kubwa sana mpaka sasa naanza kuwaonea huruma wanajeshi wa Urusi wengine wanapata ajali wakikimbia vita..
😆😆😆😆 nani kaingiza mguu?? Katika hayo unayoyaita mataifa makubwa na misaada yao imekomboa sentimeter ngapi?
 
Putin atakufa siku si nyingi. Huwezi kwenda kuua watu wasio na hatia, watoto wa shule, wagonjwa mahospitalini, wazee na walemavu wasio na hatia, Kisha ukaaachwa hivi hivi. Ila kabla hajafa Cha moto atakiona.

Hakuwa na sababu yoyote ya kuafanya unyama huu zaidi ya ubabe na ubinafsi

Labda ahame nchi aka slimu kama mwenzake Iddi Amini.

Wanajeshi wa Urusi wamechoka kutumiwa kama mandondocha. Za kuambiwa changanya na za kwako.
 
1. Kwani walijiunga jeshini kwa faida ya nani ?

2. Kwani jeshini unaenda kupigana Vita au kucheza mziki ?

1.Kwa faida ya nchi lakini vita vingine ni ubabe wa kijinga wa kiongozi mjinga.
So kwann ufe familia yako iteseke kwa upumbavu,wakati yeye familia yake inakula bata Paris.
2.Kupigana kuilinda nchi
 
Back
Top Bottom