Dah! Urusi wameachia hiki kifaa kikachukuliwa kizembe sana, hii hasara sasa

Mtu mzima unapokuwa muongo hata haipendezi.
 
Eti una dokta upande wa ukraine, hivi ninyi wahaya akina kalokola mtaacha lini sifa?
Hawa ndiyo wanafanya wahaya wote waonekane wana majigambo yasiyo na maana.
 
Hahaahahahhahaha
 
Taarifa za Urusi zingekua kweli yaani leo Ukraine ingekua shamba.....tangu vita vianze wamekua wanatoa updates za ajabu sana....mpaka sasa wamelipua HIMARS zaidi ya 100


Kwa nini unapenda penda kuweka chumvi kwenye matukio haya ya kivita nchini Ukraine - mfano:ni wapi Jeshi la Urusi liliwahi kusema eti limeharibu HIMARS systems 100-wapi? leta ushahidi, si ajabu huna kabisa!!

Jeshi la Urusi kwenye media briefing ya kijeshi (BDA) mara nyingi uzungumzia roketis za HIMARS zilizo kuwa intercepted and destroyed by Russian air defense systems na kweli siku hizi Rockets za HIMARS zinatunguliwa kwa wingi baada ya Urusi ku-figure out jinsi ya kudhibiti.

Cha ajabu nyinyi mnageuza taarifa za jeshi la Urusi kimaksudi na kudai eti Urusi imesema imeharibu HIMARS lauching system zaidi ya 100 lengo la usanii huu wa kwenu mnataka jeshi la Urusi lionekane ni waongo, hamtaki kuwaeleza watu ukweli kwamba kinacho zungumziwa ni kutinguliwa kwa rocket za HIMARS na sio launching systems.
 

Kumbe licha ya kuandika insha zako humu zinazoweza kujaza kitabu, huwa hufuatilii Urusi yenu wanachokisema, jikite kwenye ma-telegrams yenu ya propaganda huko utapata taarifa za Warusi ambazo mpaka sasa inapaswa Ukraine iwe shamba kama zingekua kweli.
 
Taarifa za Urusi zingekua kweli yaani leo Ukraine ingekua shamba.....tangu vita vianze wamekua wanatoa updates za ajabu sana....mpaka sasa wamelipua HIMARS zaidi ya 100
 

Attachments

  • VID-20220915-WA0045.mp4
    2.6 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…