Tena mkuu yamkin ikawa heri saaana ukaoa familia ambayo mwanamke amelelewa ktk maadili, ndoa ya wazazi wake imesimama. Huyu hata hofu ya kuachana hawezi kuwa nayo sababu ataangalia wazazi wake, kama pesa kwao amewahi kuziona na zipo.
OGOPA SAAAANA kuoa familia masikini wa kizazi hiki, binti akishaona ela, mali n.k atatamani vile viwe vyake yeye, kama sex anajua atagongwa tu mwanaume yeyote ila yeye atataka amiliki mali aishi maisha kama wanayoishi wanawake wengine mitandaoni. Asichojua ni kwamba huko mitandaoni wanatamani sana kuwa ndani ya ndoa zao wawe na wanaume wanaowapenda na kuwajali kihisia.
Akina Shilole, Wema, Kajala, Uwoya n.k ni mifano hai, wote wanatembea na wanaume ambao ni wadogo zao kiumri.