Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
- Thread starter
- #81
Ni kweli kabisa.Mkuu, yote yasemwe, lakini hapa ndiyo shida ilipo. Zamani, Wazee wetu ndiyo walikuwa wanafanya favour kuwa na Mwanamke fulani. Na Waliwapanga Wanawake na Mwanamke aliandaliwa kiujumla, kumburudisha na kumuhudumia Mwanaume. Lakini zama hizi, Wanaume ndiyo tunapangwa foleni na kuonekana tunapewa favour kuwa na Mwanamke!!!
Sex, Mahusiano na ujenzi wa Familia inaonekana siyo hitaji la Mwanamke bali ni la Mwanaume pekee.
Tunahitaji kutambua na kuirudisha thamani na nafasi yetu Wanaume.