Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Mwamba tu jana kaingia madeni hadi laki sita ili amlipie demu akatengeneze gari yake gereji.Ukweli ni kwamba ndoa ni biashara na wanawake wanaujua huu ukweli ndio maana wanautumia kuwaendesha wanaume wajinga ambao hawajua ndoa ni nini.
Daaah ww fala kama ukweli vile.Na Leo Kuna mtu anaiendea safari yake ya kutumia ARV siku zijazo
Kondomu hamzioni nyie mbwa..?
Muoga wa maisha huyo.Kuna Mwamba tu jana kaingia madeni hadi laki sita ili amlipie demu akatengeneze gari yake gereji.
Imagine wewe ni kajamba nani lakini unalipia mtu mwenye gari wakati wewe hata baisikeli huna.
Hivi mtu unatawaliwaje na mwanamke ??Siku hizi kweli kuna mke anaenda mikono mitupu kweli Kwa mmewe? Hizi kitchen party jamani, bado wazazi! Kwani wewe upo wapi? Halafu habari za mwanamke kumtawala mwanaume huwa ni udhaifu wa mwanaume mwenyewe, pale anapoanza kuishi naye tu akijilegeza tu imekula kwake!
Mwingine unakuta hawezi fanya maamuzi mwenyewe mpaka ashirikishe ndugu zake, mama au dada zake, chakujiuliza kwanini asimshirikishe baba yake? Kutawaliwa wanaume wanakutaka wenyewe .
Mkuu, yote yasemwe, lakini hapa ndiyo shida ilipo. Zamani, Wazee wetu ndiyo walikuwa wanafanya favour kuwa na Mwanamke fulani. Na Waliwapanga Wanawake na Mwanamke aliandaliwa kiujumla, kumburudisha na kumuhudumia Mwanaume. Lakini zama hizi, Wanaume ndiyo tunapangwa foleni na kuonekana tunapewa favour kuwa na Mwanamke!!!Lakini kwenye jamii yetu ya leo narrative imebadilika. Kuna upumbavu umepandikizwa vichwani mwa watu kwamba mwanamke anapokubali kuolewa au kuingia kwenye mahusiano anamfanyia favor mwanaume.
Aise umenena kweli...Wanaume wajinga wataendelea kutapeliwa Miaka yote kama hawatabadilika haiwezekani Uwe kwenye mahusiano ambayo unatumia muda,energy na pesa kwa Huyo mwanamke alafu unafaidika na mbususu tu ambayo raha mnapata wote hiyo ni akili au matope? Hayo huwezi kuita ni mahusiano Bali ni biashara ya mahusiano alafu walivyowajinga wanajisifu kabisa Nina pisi
Nakubali mkuuPreach bro preach bro
Ndoa ni biashara hakikisha mkeo mtarajiwa naye ameinvest kwenye biashara yenu ya ndoa. Ili awe mwanahisa mwenzako.
Ili siku akifikiria kutengana she will think twice before breaking up
Mwanaume ukiwa umeinvest wewe peke yako ujue mwenzako hana uchungu wowote na hizo mali zako siku bomu likiripuka anaenda na nusu ya mali zako
Men, make your woman invest as much as you are investing in a relationship
A woman doesn't value you until she invests in you
Learn or Perish
Hii ni kwa Afrika tu. Mataifa yaliyoendelea yalishaligundua hilo zamani mno.Naona kila siku kwenye mitandao ya kijamii zinaletwa mada zenye mrengo wa kuipiga vita taasisi ya ndoa. Kwa namna dunia inavyokwenda naona kama kuna hatari kubwa sana ya taasisi ya ndoa kusambaratika na kufa kabisa, hakutakuwa tena na Watu watakaooana katika jamii.
Kwa Sasa imeanza kujengeka hisia kwamba ndoa siyo kitu kizuri.
Mlela we endelea kudanda watoto za watu ili uinjoi vinginevyo watakuuwa.Basi walienjoy sana
Fungueni Ofisi ya Chama chenu mtapata wafuasi wengi Sana sio utani.Nakubali mkuu
Tatizo, siku hizi Mwanamke naye kageuka Mwanaume anayetakiwa kusaidiwa!! Naye ana Ndoto zake anazozipambania na anataka support ya Mwanaume. Mwanamke siyo msaidizi tena wa Mwanaume!!Ni kweli kabisa, tunahoji mwanamke anaongeza value gani kwenye maisha ya mwanaume wengi wanafikiri tunawaza mchango wa kifedha tu. Value inaweza kuwa money management, amani, connection, kukusupport kwenye hustle zako mfano anajua unafanya biashara fulani akairusha status au insta kukutafutia wateja, kukutia moyo n.k
Natafuta Ajira Loading failed Aleyn Zemanda Xi Jinping wamekusikiaFungueni Ofisi ya Chama chenu mtapata wafuasi wengi Sana sio utani.
Why invest in a woman in the first place?Preach bro preach bro
Ndoa ni biashara hakikisha mkeo mtarajiwa naye ameinvest kwenye biashara yenu ya ndoa. Ili awe mwanahisa mwenzako.
Ili siku akifikiria kutengana she will think twice before breaking up
Mwanaume ukiwa umeinvest wewe peke yako ujue mwenzako hana uchungu wowote na hizo mali zako siku bomu likiripuka anaenda na nusu ya mali zako
Men make your woman invest as much as you are investing in a relationship
A woman doesn't value you until she invests in you
Learn or Perish
Daaah ww fala kama ukweli vile.
😵💫Weekend leo ...we haya
Masimp ni wengi sana mtaaniKuna Mwamba tu jana kaingia madeni hadi laki sita ili amlipie demu akatengeneze gari yake gereji.
Imagine wewe ni kajamba nani lakini unalipia mtu mwenye gari wakati wewe hata baisikeli huna.