Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
- Thread starter
-
- #41
Hata hasipoamia bado atataka uchangie au ulipe in full bill zake kama kodi, umeme, maji n.k wakati hamuishi pamoja na usipofanya ivyo ataona ni halali kukucheat au kusitisha mahusiano ili atafute mwingine wa kumlipia izo billMtaanza vizuri ila kadri miezi inavyozidi kukimbia mmoja lazima atamfuata mwenzie mazima... Hasa mwanamke lazima ahamie kwako pasi na wewe kupenda
Acha Maneno leta mabadiliko chanyaunataka kumuambukiza makusudi? Unajuaje kama na yeye ni muathirika?
mpango wa shetani ni kinyume cha mpango wa MunguMpango wa Mungu katika famili ni mwanaume uwe main provider, mwanamke awe mlezi mkuu.
Hata katika kutoa adhabu: Adam alipewa adhabu ya kula kwa jasho na Eva kuzaa kwa uchungu - kila mmoja kulingana na majukumu yake ya msingi.
Unapotaka kuoa angalia mwanamke mwenye past safi (bikira), mwenye uwezo wa kuwa mlezi mzuri wa familia. Wajibu wetu kama wanaume ni kuhudumia familia, kuilinda na kuwa viongozi.
Mwanamke si provider, in fact dunia iliingia kwenye dhambi siku Adam alipomruhusu mwanamke kuchukua nafasi yake kama provider na kiongozi.
Tuishi humo.
hahahahaaaaaa
Tena mkuu yamkin ikawa heri saaana ukaoa familia ambayo mwanamke amelelewa ktk maadili, ndoa ya wazazi wake imesimama. Huyu hata hofu ya kuachana hawezi kuwa nayo sababu ataangalia wazazi wake, kama pesa kwao amewahi kuziona na zipo.Kwa akili ya mwanamke wa leo bado atataka ugharamie maisha yake mfano kodi, umeme, gas, maji n.k na bado kuna masimp watafanya ivyo. Kwaiyo tunarudi palepale kwenye kuchagua partner wanawake wengi wapo smart zaidi ya wanaume
Wakati tunajua kiasili nafasi ya mwanaume ni ipi na ya mwanamke ni ipi vile vile tusisahau kuji-adjust kwenye mfumo kitaalamu.Mpango wa Mungu katika familia ni mwanaume uwe main provider, mwanamke awe mlezi mkuu.
Hata katika kutoa adhabu: Adam alipewa adhabu ya kula kwa jasho na Eva kuzaa kwa uchungu - kila mmoja kulingana na majukumu yake ya msingi.
Unapotaka kuoa angalia mwanamke mwenye past safi (bikira), mwenye uwezo wa kuwa mlezi mzuri wa familia. Wajibu wetu kama wanaume ni kuhudumia familia, kuilinda na kuwa viongozi.
Mwanamke si provider, in fact dunia ilianguka (dhambini) siku Adam alipomruhusu mwanamke kuchukua nafasi yake kama provider na kiongozi.
Tuishi humo.
Appreciate broYou're very smart brother sijui umri wako but I'm sure upo kwenye 30s
Napenda Sana articles zako humu
Utawala wa Trump utapunguza ufadhili kwenye masuala ya afya. Endeleeni kucheka na Fisiemu.Na Leo Kuna mtu anaiendea safari yake ya kutumia ARV siku zijazo
Kondomu hamzioni nyie mbwa..?
Na sio mwanamke anayefanya kazi ni tatizo?Ila mleta mada hajaipinga nfoa bali anatukumbusha wanaume juu ya muelekeo wetu kwenye ndoa.
Nakubaliana na mtazamo wake kwa zaidi ya 90%. Ndoa ni biashara ya kuishi pamoja, lazima mwanaume azingatie uwezo wa uzalishaji wa mwanamke anayetaka kumuoa.
Kuoa mwanamke tegemezi ni chanzo kikuu cha kuvunjika ndoa nyingi. Ndoa nyingi zinavunjika sababu ya utegemezi wa mwanamke na wala sio usaliti kama wengi wanavyodhani.
Mkuu Umesoma mada na kuielewa?Naona kila siku kwenye mitandao ya kijamii zinaletwa mada zenye mrengo wa kuipiga vita taasisi ya ndoa. Kwa namna dunia inavyokwenda naona kama kuna hatari kubwa sana ya taasisi ya ndoa kusambaratika na kufa kabisa, hakutakuwa tena na Watu watakaooana katika jamii.
Kwa Sasa imeanza kujengeka hisia kwamba ndoa siyo kitu kizuri.
Na hili mkalitizame tunahitaji katiba mpyaUtawala wa Trump utapunguza ufadhili kwenye masuala ya afya. Endeleeni kucheka na Fisiemu.
Huyo jamaa hajamuelewa mleta mada, na kama amemuelewa basi amecomment ni kutafuta kick tu humu ndani. Mleta mada yupo sahihi kwa zaidi ya 90%.Ila mleta mada hajaipinga nfoa bali anatukumbusha wanaume juu ya muelekeo wetu kwenye ndoa.
Nakubaliana na mtazamo wake kwa zaidi ya 90%. Ndoa ni biashara ya kuishi pamoja, lazima mwanaume azingatie uwezo wa uzalishaji wa mwanamke anayetaka kumuoa.
Kuoa mwanamke tegemezi ni chanzo kikuu cha kuvunjika ndoa nyingi. Ndoa nyingi zinavunjika sababu ya utegemezi wa mwanamke na wala sio usaliti kama wengi wanavyodhani.
Katika hiki kozazi chetu ndoa imekua utapeliTena mkuu yamkin ikawa heri saaana ukaoa familia ambayo mwanamke amelelewa ktk maadili, ndoa ya wazazi wake imesimama. Huyu hata hofu ya kuachana hawezi kuwa nayo sababu ataangalia wazazi wake, kama pesa kwao amewahi kuziona na zipo.
OGOPA SAAAANA kuoa familia masikini wa kizazi hiki, binti akishaona ela, mali n.k atatamani vile viwe vyake yeye, kama sex anajua atagongwa tu mwanaume yeyote ila yeye atataka amiliki mali aishi maisha kama wanayoishi wanawake wengine mitandaoni. Asichojua ni kwamba huko mitandaoni wanatamani sana kuwa ndani ya ndoa zao wawe na wanaume wanaowapenda na kuwajali kihisia.
Akina Shilole, Wema, Kajala, Uwoya n.k ni mifano hai, wote wanatembea na wanaume ambao ni wadogo zao kiumri.
Wakuu mnatema sana nondo.Issue sio awe mwanamke masikini unachotakiwa uangalie ana offer nini kwako bila kujali ni masikini au Ana hela anaweza akawa masikini but akawa ni nzuri kwenye kutoa ushauri na kumanage matumizi mazuri ya fedha hapo nyumbani na pia akawa mama mzuri wa watoto wako lakini pia kwa Huyo mwenye hela hiyo hela yake inaweza ikawa yenye manufaa kwake sio kwako zingatia hilo au unasemaje Natafuta Ajira
Upo sahihi mkuu, na kuna fumbo kubwa saaana la shetani/ibilisi kumtumia mwanamke. Kuna fumbo zito la mwanamke kutumika kama njia ya kuleta uharibifu duniani.mpango wa shetani ni kinyume cha mpango wa Mungu
Tangu siku hawa alipoleta tunda na adamu akala mambo yaligeuka na shetani anauendeleza mpango wake kwa ufanisi zaidi kupitia woman impowerment ambapo mwanamke anapewa kipaumaele katika mambo yote kuliko mwanaume na kumfanya mwanaume abaki kama mtumwa wa mwanamke
Hata Mtume Paul alikemea saaana suala la wanawake kuwa na impact kubwa ndani ya Kanisa, yamkini ndio maana hata Kanisa la kwanza lilikuwa na ustawi sana tofauti na sasa.Wanadamu tunalipa gharama za kutoka kwenye makusudi ya Munhu
Jamaa anatufungua akili wanaume wengi sana hapa ndani.You're very smart brother sijui umri wako but I'm sure upo kwenye 30s
Napenda Sana articles zako humu
Tutaongea weeee ila kubwa zaidi ni hili, ile siku ya Hawa alipokosea ndipo tulipoanguka wote.Mpango wa Mungu katika familia ni mwanaume uwe main provider, mwanamke awe mlezi mkuu.