Daima iangalie ndoa katika mtazamo wa kibiashara

Pointi nyingine ya wazi kabisa kwa sisi kataa ndoa. Kwa sisi kataa ndoa tunasema, #ndoa ni utapeli#
 
Ukweli ni kwamba ndoa ni biashara na wanawake wanaujua huu ukweli ndio maana wanautumia kuwaendesha wanaume wajinga ambao hawajua ndoa ni nini.
Kuna Mwamba tu jana kaingia madeni hadi laki sita ili amlipie demu akatengeneze gari yake gereji.

Imagine wewe ni kajamba nani lakini unalipia mtu mwenye gari wakati wewe hata baisikeli huna.
 
Siku hizi kweli kuna mke anaenda mikono mitupu kweli Kwa mmewe? Hizi kitchen party jamani, bado wazazi! Kwani wewe upo wapi? Halafu habari za mwanamke kumtawala mwanaume huwa ni udhaifu wa mwanaume mwenyewe, pale anapoanza kuishi naye tu akijilegeza tu imekula kwake!
Mwingine unakuta hawezi fanya maamuzi mwenyewe mpaka ashirikishe ndugu zake, mama au dada zake, chakujiuliza kwanini asimshirikishe baba yake? Kutawaliwa wanaume wanakutaka wenyewe .
 
Kuna Mwamba tu jana kaingia madeni hadi laki sita ili amlipie demu akatengeneze gari yake gereji.

Imagine wewe ni kajamba nani lakini unalipia mtu mwenye gari wakati wewe hata baisikeli huna.
Muoga wa maisha huyo.
 
Hivi mtu unatawaliwaje na mwanamke ??
Kama anaenda kuloga kwa mganga ...
Unatakiwa uwe una imani kali sana uchawi na ushirikina havikugusi hataa
 
Lakini kwenye jamii yetu ya leo narrative imebadilika. Kuna upumbavu umepandikizwa vichwani mwa watu kwamba mwanamke anapokubali kuolewa au kuingia kwenye mahusiano anamfanyia favor mwanaume.
Mkuu, yote yasemwe, lakini hapa ndiyo shida ilipo. Zamani, Wazee wetu ndiyo walikuwa wanafanya favour kuwa na Mwanamke fulani. Na Waliwapanga Wanawake na Mwanamke aliandaliwa kiujumla, kumburudisha na kumuhudumia Mwanaume. Lakini zama hizi, Wanaume ndiyo tunapangwa foleni na kuonekana tunapewa favour kuwa na Mwanamke!!!

Sex, Mahusiano na ujenzi wa Familia inaonekana siyo hitaji la Mwanamke bali ni la Mwanaume pekee.

Tunahitaji kutambua na kuirudisha thamani na nafasi yetu Wanaume.
 
Aise umenena kweli...
Wanawake wameletwa kwetu kama wasaidizi wetu...
 
Preach bro preach bro

Ndoa ni biashara hakikisha mkeo mtarajiwa naye ameinvest kwenye biashara yenu ya ndoa. Ili awe mwanahisa mwenzako.

Ili siku akifikiria kutengana she will think twice before breaking up

Mwanaume ukiwa umeinvest wewe peke yako ujue mwenzako hana uchungu wowote na hizo mali zako siku bomu likilipuka anaenda na nusu ya mali zako

Men make your woman invest as much as you are investing in a relationship

A woman doesn't value you until she invests in you

Learn or Perish
 
Nakubali mkuu
 
Hii ni kwa Afrika tu. Mataifa yaliyoendelea yalishaligundua hilo zamani mno.

Mfano nchi ya Uingereza, mnamo miaka ya 1770 ilifikia kiwango cha zero population increase. Hakukuwa na ndoa na watu walikuwa hawazai.
 
Tatizo, siku hizi Mwanamke naye kageuka Mwanaume anayetakiwa kusaidiwa!! Naye ana Ndoto zake anazozipambania na anataka support ya Mwanaume. Mwanamke siyo msaidizi tena wa Mwanaume!!

Imagine, kuna Ndoa Mwanaume kamruhusu na anamsupport Mwanamke wake kuanzisha Biashara yake, siyo ya Familia, badala ya Mwanamke kusaidia Biashara ndogo ya Mwanaume iliyopo!!!
 
Why invest in a woman in the first place?
 
Kuna Mwamba tu jana kaingia madeni hadi laki sita ili amlipie demu akatengeneze gari yake gereji.

Imagine wewe ni kajamba nani lakini unalipia mtu mwenye gari wakati wewe hata baisikeli huna.
Masimp ni wengi sana mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…