Dakika 30 za PLO Lumumba zaimaliza NASA ya Odinga mahakamani, wanasheria wa Tanzania jifunzeni kwake jamaa huyu

Kweli elim ya Tanzania nadhani bado sana kujilinganisha na mataifa mengine. Jamaa anaongea anajiamini.. Mpaka rahaa japo sijaelewa yote english alotumia wengine mtusaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 

[emoji3] Siasa kazi sana kuzielewa.

-Silasc-
 
Hakuna maneno ya maana aliyosema zaidi ya kuichezea chezea lugha ya malkia na vijimaneno vya kitaliano,.
Uwezi mlinganisha na senior counsel james orengo.
Jamaniii !! Maneno magumu kweni anatoa lecture au anapangua hoja za mashtaka !! Na kama hoja za mashtaki hazina maana hio hoja ya maana na ngumu ya utetezi itatolewa wapi !!?? Aisee mbona amnajitoa ufahamu hivi maccm!!?? Etii unataka uone panya unauliwa kwa kupigwa bomu !!!!????[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Imeimaliza vipi NASA!

Tuwe makini kidogo.
NASA wameruhusiwa na mahakama kuchunguza "database" iliyotumiwa na tume ya uchaguzi.

Lumumba kamaliza nini hapa!


 
Mbona hakusema ya maana sana ila maneno magumu ya kiingereza!
wenyewe hao watu wanaitwa maprofesa wa sheria, huwa wanajua tu theories na kufanya research ya mambo ya kufundisha wanafunzi, ila practice ya sheria na presentation ya argument za kisheria mahakamani huwa ni sifuri kabisa. hata hapa bongo, simjui ni profesa gani hata mmoja tu mzuri kwenye practice ya sheria. hakuna hata mmoja pamoja na kwamba ndio waliotufundisha.
 
Hakuna kitu. James Orengo na jamaa mmoja mwingine wanawachambua kama karanga advocates wa IEBC. Muda si mrefu wataomba pooo na wakubali blunder japo watamalizia kwa kauli kama "yes kulikuwa na issues ila sio significant kubadirisha ushindi wa UHURUTO"
 
PLO abaki kwenye consultation tu, lakini pia ni hafadhali PLO kuliko yule wa makinikia Prof Kabudi. Kabudi is useless kabisa.
Uwezo wa kabudi hatujaupima sana publicly. Labda alikufundisha.lakini kwa kiasi kidogo nilichomshuhudia bungeni ni mzuri kisheria yaani amesoma na anaijua sheria. Uamuzi wa kusema asimame upande gani kuutetea huo ni wake yeye.
 
Kweli elim ya Tanzania nadhani bado sana kujilinganisha na mataifa mengine. Jamaa anaongea anajiamini.. Mpaka rahaa japo sijaelewa yote english alotumia wengine mtusaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa kiukweli ana confidence ya kiwango cha juu sana. Kulinganisha na wengi hapo kortini.
Yy anawaikilisha tume ya uchaguzi ?
 
Jamaa kiukweli ana confidence ya kiwango cha juu sana. Kulinganisha na wengi hapo kortini.
Yy anawaikilisha tume ya uchaguzi ?
Nilichoelewa mm ni ana criticize msimamo wa mlengo wa pili... Upizani Nasa.mahakama ya juu iliamuru Nasa wachungeze saver data ilivyo kusanya taarifa za uchaguzi na kutoa matokeo.. Maana yake upinzani uliona uchaguzi haukuwa huru na haki... Lkn jamaa kachomoa kwa point.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…