Dakika 30 za PLO Lumumba zaimaliza NASA ya Odinga mahakamani, wanasheria wa Tanzania jifunzeni kwake jamaa huyu

Tunatofautiana sana kwenye kutafsir maana ya kupangua au hayo maneno ya kilatin ndio yamekufanya umuone ni Mwana sheria mzuri?
Una question kama Lumumba ni mwanasheria??? Kweli vilaza Tanzania mnazidi kuongezeka.
 
Hakuna kitu, mi nimesikia vijembe tu na lugha ngumu ngumu kama kawaida., no content ya maana
Sema hujaelewa kila mtu hapa anajifanya anajua sana sheria za Kenya yeye amekuja na hoja ya msingi kabisa.
 
Una question kama Lumumba ni mwanasheria??? Kweli vilaza Tanzania mnazidi kuongezeka.
Asante kipanga kwa kunielewa kikipanga! Mimi sijapinga kama PLO ni Mwanasheria nisome tena! Napinga kwamba amepangua hoja. Kama akili kama zako ndio unakua genius kweli mimi ni kilaza kwa sababu I am the opposite of you
 
Kazi kubwa alikuwa anafanya Paul Muite, na ndo aliliongoza jopo la utetezi !
 
Kuna kichwa kinaitwa Ottiende Amolo nadhani kipo vizuri.
 
Hao wana posses kitu kinaitwa CORD OF HONOUR watu hawa ni wabaya

sana kwenye submission hapa tz kuna kichwa kinaitwa Loumu Ojare

nadhani kimezeeka those are sons of artisons wana karama hiyo
 
Inategemea wewe uko pande gani. Uhuru au Raila. Kama uko pande ya Raila, hukupendeswa na hiyo maneno ya Lumumba. Kama weye ni pande ya Uhuru, leo umesema kwamba tiyari kashinda. Gojea keso usikilise hii maneno tena.
 
Na maeneo hayo ndipo watakapochapwa hao IEBC na Jubilee

kama mahakama ipo huru kweli.
 
Mara ufipa mara magufuli,unatapatapa tu kama unataka kutaga!taga basi tuone
 
Hata kwa dawa ngosha hawezi kuelewa hataaaa nawaza tu kama anafatilia
 
Tundu Lisu wao huyo
Mkuu unasimfananishe TL na kilaza wa form 3 mwenye kaz ya kukariri misamiati tu. Suala la NASA kwenda mahakamani ni suala la kukamilisha utaratbu tu wa kukubali matokeo hata hoja za Mawakili sio issue sana. Ilikua ni lazma wakubali. Huez mshawishipinzan akubali matokeo kwa vimisamiati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…