Mods msiunganishe huu Uzi tafadhali ili kuweka mizani sawa ya kile kilichojiri kwenye mashambulizi ya Iran ndani ya Israel, hii ni kuonyesha uhalisia baada ya Israel na vyombo vya habari vya magharibi kudai kua 90% ya makombora yalidunguliwa.
Tutazame dakika 5 za maeneo yaliyopigwa,yakijumuisha kambi za jeshi za kuhifadhia ndege za 35 F 5th Generation, depot ya gesi,Makao makuu ya Mossad na miundo mbinu mingine ya kijeshi katika miji zaidi ya mitatu kwa wakati mmoja,ikiwemo Tel Aviv center kwenye Makao makuu ya Mossad!
Serikali ya Israel ikikiri na kulalama kuhusu ukubwa wa mashambulizi uliolazimu watu 10mln kuingia kwenye mahandaki maalumu ya kuepuka maafa!!
View: https://x.com/Israel/status/1841250555454259550?t=Psp-FzwEcR_pe4wlVfafCA&s=19