Dakika 5 za mashambulizi ya makombora ya Iran ndani ya Israel!!

Dakika 5 za mashambulizi ya makombora ya Iran ndani ya Israel!!

Fattah-2, izo kiboko ya Iron Dome
Video hii Netanyahu na Hagari hawatazisahau maishani
Nilimuona hagai baada ya lileshambulio alijibu kwa kutetemeka kama mtu mwenye arrhythmia hivi na kiwew ..hii ndo lugha huwa wanailewa hawa jamaa
 
kutetemeka
niliona hiyo, alitetemeka maana hakuamini kilochotokea
speech aliyotoa April kule alikuwa na confidence ya ajabu

kuanzia leo lile neno lao wanaopenda kulitumia mno 'Israel iko tayari offensively and defensively' hilo la pili walitoe maana hakuna cha Dome pale
 
Anga la Israel lilibadilika rangi na kuwa jekundu kama inanyesha mvua ya moto, ni bahati tu makombora hayakuelekezwa kwenye makazi ya watu yalikua yameelekezwa kwenye military base na oil facilities za wamamgambo wa kigaidi wa Israel ila yangekua yameelekezwa kwa raia ingekua balaa zaidi
 
Sikuwai kujua kama Irani ni wastaarabu kiasi hiki...hawajagusa kabisa makazi ya raia wasio na hatia..
 
Israel huwa inafanya censorship kubwa sana ya taarifa za vita,mfano Jana wameuliwa wanajeshi takribani 35 na Hezbollah walipojaribu kuingia Lebanon kwenye ground invasion, taarifa wametoa kua wanajeshi 7 tu!!
Wanajidanganya wenyewe Sasahivi teknolojia ilivyo mbali Hivi Kila mtu ni mwandishi wa habar
 
Sikuwai kujua kama Irani ni wastaarabu kiasi hiki...hawajagusa kabisa makazi ya raia wasio na hatia..
April pia waliwatangwa Israel kwenye miundo mbinu,hata HAMAS na Hezbollah hawakuua raia,waliwateka ,huwa wanaua wanajeshi wa Israel kwa kulenga kambi zao ama vifaru!!

Israel hulipa kisasi kwa kushambulia shule, hospital na makambi ya wasio na makazi,lengo kutengeneza chuki kwa wananchi dhidi ya HAMAS NA HEZBOLLAH ila wananchi bado hushikamana na wapiganaji na kuwalaani Israel
 
Back
Top Bottom