Dakika 5 za mashambulizi ya makombora ya Iran ndani ya Israel!!

Dakika 5 za mashambulizi ya makombora ya Iran ndani ya Israel!!

Unajua Gharama ya hayo makombora na madhara yake nchini Israel
Unawezaje kutofautisha na mafataki ambayo madhara yake makubwa ni kwa watu wenye Pressure na sukari zaidi kutokana

Yah sisi ni kondoo kwa tabia ya upole hatuna maamuzi ya kukurupuka Kama mbuzi wanaouliwa ovyo kwa mihemko na kijinga
 
Attachments

  • Facebook_1727906583821.mp4
    653.1 KB
Ukijaribu kujibu tutajupiga mara 1000 times. Eeeeh! Ayatollah weeee mungu akuongezee hekima na busara, umei mrefu na afya njema amiin
Mods msiunganishe huu Uzi tafadhali ili kuweka mizani sawa ya kile kilichojiri kwenye mashambulizi ya Iran ndani ya Israel, hii ni kuonyesha uhalisia baada ya Israel na vyombo vya habari vya magharibi kudai kua 90% ya makombora yalidunguliwa.

Tutazame dakika 5 za maeneo yaliyopigwa,yakijumuisha kambi za jeshi za kuhifadhia ndege za 35 F 5th Generation, depot ya gesi,Makao makuu ya Mossad na miundo mbinu mingine ya kijeshi katika miji zaidi ya mitatu kwa wakati mmoja,ikiwemo Tel Aviv center kwenye Makao makuu ya Mossad!
View attachment 3113574
 
ULINZI WA ANGA WA ISRAEL NI DHAIFU WAMESHINDWA KUTUNGUA MAKOMBORA
 
Unajua Gharama ya hayo makombora na madhara yake nchini Israel
Unawezaje kutofautisha na mafataki ambayo madhara yake makubwa ni kwa watu wenye Pressure na sukari zaidi kutokana

Yah sisi ni kondoo kwa tabia ya upole hatuna maamuzi ya kukurupuka Kama mbuzi wanaouliwa ovyo kwa mihemko na kijinga
Mmeanza sisi Waajemi tumechoka kuonewa tuko tayari kwa vita😀
 
Muiran ni naye anataka watu wamueshimu kama dolla kubwa ktk eneo yani yeye ndio mkuu kama dume anaonesha umwambawake ktk eneo, niwakumbushe tu kabla Netanyahu ajautubia kule UN wairan nao waljigamba kidume mjesh wao mkuu alisema nawanukuu, akuna shetani yoyote mwenye kuweza au kupata ujasili wakutushambulia narudia yoyote akuna baada ya apo Netanyahu ndio akasafiri UN uku nyuma tukasikia Nasrallah katumia kitu kizito kwaiyo wkt anaongea pale UN alikuwa anajua Nasrallah washamuua kwaiyo nayeyr Netanyahu akaongea kibabe sana sana atuogopi tunaweza piga popote ata IRAN atutawai shidwa nimemkuuu Netanyahu akiwa UN so awa Israel nao wanataka dunia iyamini wao ndio wakuu ktk mid est Iran nae ivyo ivyo so kubutuliwa Israel n ktk seem pia kuonesha nan mkuu ktk eneo je Israel watakubali kuwa Iran ndio mkuu ,, tujupe muda heshima tutaona memgi mtazamo wamgu mm naona Iran anajua ili dunia wajue mm ndio mkuu namchapa live kutoka kwangu adi kwake tumeona. Lkn Israel anajua akirusha vitu kama Itan anauwakakq kuweza kuhit Iran so Israe chaguo lake litakuwa zaid kutumia mossad ambao wanambinu nyingi tatanish zaid kwaiyo ktk upande w ujasus mossad wapo vizuli ktk eneo lkn kushambulia mojakwqmoja apo Israel atakwama kwaiyo Israel kwa Iran atachugua vitq vya kijasus au tuseme kigaid gaid vita unavizia mwenzio kalala unamtwanga njia iyo tu ndio ataweza msumbua muIran akuna nyengine .
 
Hamna madhara yoyote makubwa baada ya hayo unayoita mashambulizi makubwa.

Hako ka clip kame editiwa na wahuni wahuni wa jeshi la Iran na kukasambaza.
 
Unajua Gharama ya hayo makombora na madhara yake nchini Israel
Unawezaje kutofautisha na mafataki ambayo madhara yake makubwa ni kwa watu wenye Pressure na sukari zaidi kutokana

Yah sisi ni kondoo kwa tabia ya upole hatuna maamuzi ya kukurupuka Kama mbuzi wanaouliwa ovyo kwa mihemko na kijinga
Hujawahi kuwa na point hata siku moja.
Umewahi kuona wapi fatali linasafiri speed ya kilometa 2000 kwa dakika 10!?
Kambi zimechomwa na baadhi ya ndege kuungua wewe unaita fataki!?
Aisee kondoo huwa hawana akili kabisa kheri ya mbuzi.
 
Hamna madhara yoyote makubwa baada ya hayo unayoita mashambulizi makubwa.

Hako ka clip kame editiwa na wahuni wahuni wa jeshi la Iran ma kukasambaza.
Naona njaa inakusumbua.
Kale usije kufa kwa vidonda vya tumbo.
Video hizo hazina tofauti na zile za vyombo vikubwa vya habari kama Al-Jazeera na CGTN.
Dunia hii humfichi mtu kitu.
Madhara yametokea tena makubwa tu.
 
Iran ya Ayatollah Itajuta milele. (B.Netanyahu)

Endeleeeni kujifariji kwanza.
 
Usa na Israel hawana jeuri ya kurusha 1000 missiles kwa wakati mmoja kama muajemi na Waarabu
 
Tuliambiwa makombora yote yalidakwa na kuhaeibiwa juu kwa juu lakini kwa macho yangu na yaona yakitua bila shida yoyote
Israel huwa inafanya censorship kubwa sana ya taarifa za vita,mfano Jana wameuliwa wanajeshi takribani 35 na Hezbollah walipojaribu kuingia Lebanon kwenye ground invasion, taarifa wametoa kua wanajeshi 7 tu!!
 
Wewe unawaza kuua watu tu kama afanyavyo mzayuni kuua raia wasio na hatia!?
Hutizami nchi imepata hasara gani katika miundombinu!?
Pia jiulize kama Iran ameweza kushambulia maeneo ya jeshi yenye ulinzi je atashindwa kulipua majumba ya watu!?
Hakuna hasara kubwa kama kupoteza roho za watu, hayo majengo na vifaa vitatengenezwa tu with time hata vikichelewa...hata huko Gaza na kwingineko si sahihi kupoteza roho za watu
 
Hakuna hasara kubwa kama kupoteza roho za watu, hayo majengo na vifaa vitatengenezwa tu with time hata vikichelewa...hata huko Gaza na kwingineko si sahihi kupoteza roho za watu
Tunakubaliana kwamba Iran hana nia ya kuua watu wasio na hatia?

Kama maeneo yenye ulinzi mkali wa mifumo kama vile makao makuu ya MOSSAD, makao makuu ya jeshi na kambi za kijeshi za kurushia zimeshambuliwa bila kipingamizi vipi Iran akiamua kutwanga maeneo ya raia yasiyo na ulinzi mkali si itakuwa mauaji ya halaiki?

Ikiwa Israel itajibu kwa kupiga maeneo ya kiraia pale Iran basi Iran itajibu kwa kuyapiga maeneo ya kiraia ya Israel bila huruma.
 
Back
Top Bottom