Dakika chache kabla ndege haijaanguka unadhani abiria huwa katika hali gani?

Dah kwenye ndege sio mchezo,juzi hapa natoka mwanza airport kwenda dar kupitia kahama..sasa baada ya kutakeoff mwanza about 20minutes later rubani akasema kutakuwa na turbulence tufunge mikanda weee baada ya dk 3 hivi huo mtikisiko sio wa nchi hii...Baada ya hapo tukatua kahama airport uwanja ni wa udongo then kuna mabonde mabonde yaani hatari tupu
 
Kama vile vinatoka dar- zenji ovyoo sana...mi nilihisi tunakufa, ulogwe uangalia chini sasa, full kichefuchefu
 
Siku naenda safari ndefu nishasema nitaenda airport niko nimelewa balaa kabisa ili nikifika kwenye ndege nizime.

Naogopa sana hayo mapipa
 
Ha ha ha mbona ni burudani sana aisee, acha uoga mkuu
Hapana aisee. Sijawahi kuzoea ndege. Yani nikishaingia mle ndani huwa nasali mpaka nashuka.

Safari ya masaa mawili natamanigi hata kupiga ukunga sasa siku nikienda masaa matano si naweza zimia huko juu.
Naamini bila kuwa kwenye ulevi sitawwza enjoy safari

Mimi ni muoga mnooo
 
Oval ama hourglass?

una roho ngumu bestiπŸ€“
Mumo mumo shoga...
Kwenye urembo, huwa wanawake tunakuwa makatili sana na miili yetu mpenzi.
Acha tu...kuuguza donda miezi 3 si masikhara ati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…