Dakika chache kabla ndege haijaanguka unadhani abiria huwa katika hali gani?

Taja tu shirika.

Ila mara nyingi ndege ikishaanza stall hiyo inashuka milele

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
 
Ndege haiwezi simam angani na mara nyingi kuzunguka atazunguka kwa saa 1 pekee au anapelekwa airport ya karibu

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
 
Ilitokea ET Airways, Gz to Addis. Kwa waliopanda hili shirika wanajua jinsi linavyobeba mizigo.
Basi bana kitu kikapaa hata kabla hakijakaa sawa kikaanza tikisika. Wanaija walilia, mi nilikua nishaomba kwa Mungu.



Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
 
Mambo ya angani yanatisha sometimes! Unaweza tamani bora kupanda gari!
Komenti yako inasadikisha kupewa jibu na komenti No #2.

Sababu unaongelea issue ya kusafiri kwa ndege siyo kutoka moro kwenda lindi mkuu, hapo ndipo unaweza kupanda basi.

Safari za ndege 'labda' kutoka KIA to Shelisheli island.
 
Sala yoyote unayomuombea mgonjwa anaekaribia kufa ni muhimu, ipige kwa sauti kubwa ili Mungu asikie.
 
Kile kilikuwa kipande cha movie watu wakakihusisha na Air Malaysia.
 
Hakuna kifo chepesi kama Cha ajali ya ndege. Hakuna complications.

Yaani Jambo moja tu, kusema Mungu tusamehe. Mengine unasubiri.

Mimi nishanusurika Mara mbili. Nikiwa na muda nitaandika hapa.
Mara ya tatu ikikutokea watu tunaimba niagieeeni, niagieeeeeni jamaniiiii, mwanga wa milele umuangazie. 😛
Si sawa, haiwezekani unanusurika mara zote hizo.
 
Ukimaliza tuandikie na magari
 
Vacum ndo nini
 
Anywau sijaelewa kitu ktk hii quote yako
 
Sandbox
 
Mwandende hukumkumbuka khumbu?
 

Ilikuwaje?
 
Ilikuwaje?
Wakati tunaruka pale uwanja wa ndege wa KMCL, (KAKOLA), kuna wale ndege John, mmoja aligongwa na gari kabla tairi hazijaingizwa ndani. Kwa stori tulizokuja kupata baadaye, kuna hydraulic pipe ilibonyezwa. Sijui ilikuwa ya kazi gani. Kilichotokea ni kwamba ndege ikaanza kuyumba, inashuka ghafra ghafra na kupanda. Unalazwa upande mmoja wa bawa la ndege mpaka unaona eneo flat ni kama mlima. Tulitapika kila kitu tulichokula tukiwa KMCL. Tukaambiwa ndege imepata hitirafu hivyo tutatua Mwanza kwa dharula baada ya dakika 5. Lakini haikuwa hivyo, tulizurula juu ya ziwa Victoria kwa almost 30 minutes.Tulitua salama na ndege ikaingia kutengenezwa. Ila hatukusafiri tena na ndege, ilikuja nyingine
 
Masahihisho: Futi elfu 40 ni mita 40,000/3.33 = 12012.012012 sawa na km 12 (approx.).
Futi elf 40 ni umbali wa kawaida kabisa tena vindege vidogo, ila huwa zinapiga hado elf 80
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…