Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Una mambo ya kitoto sana na ukike kike ndani yako,na ugoigoi unapenda sana kuonewa huruma kwa njia za kujifanya mhanga,,,,kinachokushinda kumpiga mimba mage ni nini??? Ngoja apewe mimba na walimu wenzie,,,,piga mimba weka alama yako acha kulialia ovyo.....mtoto wa kiume
 
Mwez wa 7 anakuwa wangu officially
 
Kamkunji
 
Your browser is not able to play this audio.

 
Nchi ngumu sana
Hatari
 
Shukrani mkuu,
Conclussion ya hii simulizi nimeipata hapa kwako.
1. Msaliti ni msaliti tu (Nyoka hata akijivua gamba, hawezi kuwa Mjusi - bado ataendelea kuwa Nyoka)
2. Mazoea ya wapenzi wengi waliofanya mambo mengi ya pamoja - huwaletea shida sana baada ya kuachana. (Kuna connection fulani inakuwa moyoni hii ndiyo huja kusababisha sonona ndani ya moyo baada ya kuachana)
- Hapa ndio maana tunaona baadhi ya wapenzi walioachana, baada ya mwaka au miaka miwili utawaona wanakuja kurudiana na wanabaki kusingizia nimemrudia kwa sababu ya watoto, au kaomba msamaha n.k lakini shida huwa ni ile bond iliyowaunganisha ndiyo inatesa sana moyo.
3. Na mara nyingi hata mkifanikiwa kurudiana, Mapenzi yenu yanakuwa tayari na makovu ya maumivu. Upendo hauwezi kuwa kama ilivyokuwa awali. Ule mzuka wa awali huwa unapungua.
4. Tujitahidi sana tunapoachana - wewe ndio usiwe chanzo cha kuachana kwenu. (Yule asiye na hatia/ Inocent ndio anakuwa na nafuu ya maumivu kuliko msaliti). Msaliti anakuwa na maumivu makali zaidi baada ya kule alikokutegemea kukuta nako amepoteza/ ametapeliwa
 
Mercy haniendeshi kama zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…