Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Nikaanza uchokoz nikamlegeza kabisa kisha nikaweka mkeyenge kwa nguvu sana na ililenga palepale ebana Mercy alitoa kelele moja kwa mkeyenge wake nikaona nimemuweza nikapiga kama tako tano alipiga sana kelele kwasabb ilikuwa inabana sikuchukua muda nikakitupa cha kwanza. Nilipochomoa nilimuona mercy kajifunika sura na mikono yake anaona aibu ila kuangalia chini ni kweli palikuwa na dam nyingi kimtindo.
Kwa akili hizo hauwezi kuishi na mwanamke yeyote utaishia kupata strock
 
Tuendeleee.........

Ule ujumbe wa Mercy siku ile ulimboa sana Mage na hata mimi pia.
Mage aliniomba namba za Mercy lakini niliona kama vile ni utoto yeye kuanza kupigishana kelele na mtu ambaye naimani kabisa Hana nafasi katika maisha yangu kwasasa.

Nilianza kuona kabisa Mercy kapoteza nafasi katika maisha yangu baada ya Mage kuja katika maisha yangu.
Hisia na mapenz kwa Mage viliongezeka na vinaongezeka kadri siku zinavokwenda. Mercy hakuchoka kunisumbua japo nimeshamwambia kuwa tayari nimepata mchumba na soon tutaoana.
Kuna siku nilikuta mesej kwenye cm ya Mage wanachat na Mercy. Hii siku niligundua kuwa Mercy nibile species ya wanawake ambao ni selfish.

Nilikuta Mercy anamdanganya Mage kwamba yule mtoto ni wangu na nachokifanya ni kuikwepa dam yangu.
Cha kushangaza ni kwamba zile texts zilikuwa zina kama siku mbili lakini Mage hakuwahi kuniuliza chochote juu ya yale mambo ambayo aliambiwa na Mercy.

Hiki kitu kinanifanya niendelee kumuona Mage kwamba ni mtu na nusu yani ni kama nimeokota dodo kwenye mpapai. Na mpka sasa hivi mage hajawahi kuniuliza kuhusu hiki kitu nafikiri ni kwasababu tayari nilikuwa nishamueleza yote yalotokea kati yangu mimi na Mercy na akanielewa. Na katika yale majibizano niliona Mage anamwambia MERCY kwamba amemuelewa na atalifanyia kazi. Yani niliona kabisa Mage katumia akili kubwa ili kumzubaisha Mercy na kumfanya acool down.

Mercy tayari kaniambia kwamba mwezi wa 6 au wa 7 atahamia hapa Tanga mahali nilipo na anasema et hatachoka kizembe na kuniacha nimuoe mtu mwingine Zaid yake.
Hizi mambo za Mercy kiukweli now days ni kama hazinistui na nadhani ni kwasababu ya uwepo wa huyu mchumba Mage karibu yangu muda wote.

Ndugu zangu kuna mengi lakin NIPENDE kuwajuza kwamba mimi na Mage tayari kuna makubaliano kati ya pande mbili.

Taratibu zimefuatwa na gues what mwezi wa saba Mungu akipenda tutaanza maisha mapya mimi na Mage 🤩🤩🤩 kama mke na mume. Nitapenda kuwa update juu ya kitakachoendelea mpka hapo mwezi wa saba mimi na Mage tutakapoanza maisha yetu na nina imani tutaishi kwa furaha na Mungu ajaalie hivyo.

Niwashukuru pia kwa kuzidi kunipa ushaur juu ya hili swala ambalo kiukweli limenipitisha katika njia na hali ngumu ambazo sikutarajia katika maisha yangu lakini NIPENDE kumshuku Mungu kwa zawad ya uhai na huyu mchumba wangu Mage ambaye Sasa anaonekana kuwa zawad special kutoka kwa Mungu.

Mungu awabariki sana, tutakutana hapo baadae katika muendelezo wa kipi kitakachotokea hapa katikati. Ahsanteni sana.
Siku ya ndoa na Mage nitchanga na nitahudhuria hiyo harus.Nitafute 0747464239
 
Back
Top Bottom