Hata sio masikini bali umasikini wa akili. Wanaokunywa mo kwa wingi, sungura unaweza kukuta kutwa anachoma hata 5000 kunywa hivyo vidude ambayo hiyo 5000 inaweza nunua chakula kizuri akala. Wengi boda boda, mafundi ujenzi n.kSawa Ila unabidi kujua Unapokunywa energy hizi za mo na azam wanaozinywa ni masikini ambao hata kupata chakula cha kueleweka ni ngumu Sana.
Hayo magari ya kuwasha haya mapya yanazima mpaka moto si tatizo kuyanunua yatatumika popote yanapohitajika.Serikali inayonunua magari ya washawasha na silaha nyingi za kuzuia maandamano badala ya kununua magari ya zimamoto na vifaa vya uokozi ni serikali inayojali makusanyo ya mapato kuliko usalama wa afya za raia wake
Hata sio masikini bali umasikini wa akili. Wanaokunywa mo kwa wingi, sungura unaweza kukuta kutwa anachoma hata 5000 kunywa hivyo vidude ambayo hiyo 5000 inaweza nunua chakula kizuri akala. Wengi boda boda, mafundi ujenzi n.k
boss wangu anazinywa hata 3 kila siku kila akisikia kiu anagida
Tunaomba japo picha yakishiriki hiyo shughuliHayo magari ya kuwasha haya mapya yanazima mpaka moto si tatizo kuyanunua yatatumika popote yanapohitajika.
Serikali iko busy kuandaa bima ya kukusanya pesa wakati wananchi hawafuati hata masharti ya afya so hiyo bima itafail vibaya mno.Unajua kuna WATU wanabidi kusaidiwa kuwafungua ufahamu wao serikali ikiendelea kukaa kimya maana jamii inateketea kwa kasi.
Na wengi wanaugua magonjwa ya moyo na wanakufa haraka maana wakishaumwa hawawezi kumudu gharama za matibabu.
Huenda zinamfanya achape kazi sana maana zinafanya uchovu upotee na ujisikie vizuri hata kama kazi ikiwa imekuchoshaboss wangu anazinywa hata 3 kila siku kila akisikia kiu anagida
Serikali iko busy kuandaa bima ya kukusanya pesa wakati wananchi hawafuati hata masharti ya afya so hiyo bima itafail vibaya mno.
Energy zina caffein ambayo ni stimulant zinasababisha ubongo kuzalisha dopamine hormone ambayo humfanya mtu ajisikie vizuri.
So hao vijana kutokana na kazi ngumu uchovu unapotea.
Sema kuna wale wanaoitumia na panadol eti wachelewa kufika kileleni.
Watanzania yani wana ujinga mwingi
Yaani mtu anayetumia zaidi ya 3,000 kwa siku kwa ajili ya kunywa energy drinks pekee unamuita hawezi kupata chakula cha kueleweka?Sawa Ila unabidi kujua Unapokunywa energy hizi za mo na azam wanaozinywa ni masikini ambao hata kupata chakula cha kueleweka ni ngumu Sana.
mbona jambo humtaji wakati energy drink yake inayojipatia umaarufu inauzika kwa wingi mtaaniMo na Azam hao niliacha kunywa energy drinks
Hapa tayari imeshasemwa matumizi makubwa. Sasa kama mtu nakunywa energy drinks mbili hadi tatu kwa siku haiwezi kuwa matumizi makubwa.Jukwaa la @JamiiCheck.com limechambua kuhusu unywaji wa vinywaji vya kuongeza Nguvu (Energy Drinks) unavyoweza kuwa na Athari kwenye Mwili wa Binadamu
Dkt. Anthony Gyunda, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani na Figo wa Hospitali ya Muhimbili – Mlonganzila anasema “Baadhi ya madhara ya Matumizi yaliyopitiliza ya kinywaji hicho ni kuathiri Uzazi, vinapunguza Madini muhimu ya kuzalisha Mayai kwa Wanawake na Mbegu za Kiume, hivyo inaweza kusababisha tatizo la Ugumba na Utasa kwa Vijana ambao ni watumiaji wakubwa.”
Magonjwa mengine ni Shinikizo la juu la Damu, Maumivu ya Kifua, Sonona, Kifafa, Kichaa, Uraibu pamoja na Figo kushindwa kufanya kazi
Soma KWELI - Matumizi Makubwa ya Vinywaji vya kuongeza nishati (Energy Drinks) husababisha Madhara kwenye Figo
#FactsChecking #FactsCheck #JamiiCheck #HakikiHabari #PublicHealth #JamiiForums
View attachment 2918675
Yaani mtu anayetumia zaidi ya 3,000 kwa siku kwa ajili ya kunywa energy drinks pekee unamuita hawezi kupata chakula cha kueleweka?
Vijana wengi wanakunywa energy kuanzia tatu kwa siku kwa kiwango cha chini. Hiyo sio masikini maana kama 3,000 inaenda kwenye kinywaji pekee hapo hajala wala kuvuta sigara huwezi kumuita masikini.
Atakuwa ni witch doktaSio kweli huyu ni daktari bingwa wa kupotosha...
Kwanza tuanzie hapa, kilevi ni nini?
Na hii ni kweli kabisa mkuu.Addiction ya Caffeine ndio aliieleza kama "kilevi"
Mkuu elimu!Kuna siku nilikuwa hospital Fulani hivii ina jina kubwa tuu Dar kuna mtoto alikuwa anakunywa energy kapewa na mama yake,
Aisee, Doctor alivyo ona alifoka sana.
Nataka kusema hata sisi wazazi tulinde kizazi chetu kuna kama sie tumeshindwa kujilinda.
Hili ni tishio kubwa kwa uhai wa raia na inasikitisha kuona matajiri wanajali zaidi kutengeneza pesa kuliko kuzingatia afya zza walaji. Mo na Bakhress wanatengeneza utajiri wa damu afu kila siku wanajisifu kuwa biashara zao zinakuwa. Ovyo kabisa.Jukwaa la @JamiiCheck.com limechambua kuhusu unywaji wa vinywaji vya kuongeza Nguvu (Energy Drinks) unavyoweza kuwa na Athari kwenye Mwili wa Binadamu
Dkt. Anthony Gyunda, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani na Figo wa Hospitali ya Muhimbili – Mlonganzila anasema “Baadhi ya madhara ya Matumizi yaliyopitiliza ya kinywaji hicho ni kuathiri Uzazi, vinapunguza Madini muhimu ya kuzalisha Mayai kwa Wanawake na Mbegu za Kiume, hivyo inaweza kusababisha tatizo la Ugumba na Utasa kwa Vijana ambao ni watumiaji wakubwa.”
Magonjwa mengine ni Shinikizo la juu la Damu, Maumivu ya Kifua, Sonona, Kifafa, Kichaa, Uraibu pamoja na Figo kushindwa kufanya kazi
Soma KWELI - Matumizi Makubwa ya Vinywaji vya kuongeza nishati (Energy Drinks) husababisha Madhara kwenye Figo
#FactsChecking #FactsCheck #JamiiCheck #HakikiHabari #PublicHealth #JamiiForums
View attachment 2918675
Uko sahihi kabisa mkuu, hata hizo energy drinks kwenye label yake wameweka maelezo kuhusu matumizi sahihi. Usinywe zaidi ya idadi fulani, mama wajawazito na watoto hawashauriwi kuzitumia. Sasa mtu anakwenda kunywa hadi 5 na vijana siku hizi wanahanganya na paracetamol kama booster. Elimu inatakiwa sana kwa ummaHapa tayari imeshasemwa matumizi makubwa. Sasa kama mtu nakunywa energy drinks mbili hadi tatu kwa siku haiwezi kuwa matumizi makubwa.
Unaposema matumizi makubwa yana madhara maana yake hayaishii kwenye energy drinks pekee bali kwenye vyakola vyote.
Hao madaktari uchwara. Siku hizi kwanza kila mtu daktari naweza kuuliza akili bandia ikanijibu kwa usahihi zaidi kuliko daktari kilaza.
Search engine zipo kibao unapata elimu huko sasa nisubiri maelezo ya daktari ambaye naye anasoma kupitia internet kama mimi.