Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Kiukweli nilitaka kuandika hivyo pia, ila nimejitahidi sana kujizuia kubeza uwezo wa kielimu wa Askari wetu walio wengi.Hii ni kweli kwa sababu ili kusomea udaktari ni lazima uwe umefanya vizuri sana darasani.
Sasa hebu Linganisha aina ya watu wanaojiunga na polisi au JWTZ 😂.
Binafsi sijawahi kukutana ama na polisi au mwanajeshi mwenye akili.
Nina ndugu waliokuwepo JWTZ na wengine wapo humo sasa hivi.
Kichwani ni watupu mno. Hata common sense hawana.
Hivi kwa mfano huyo mkuu wa JWTZ unadhani anaweza kufanya mkutano na waandishi wa habari wa kimataifa katika mtindo wa maswali na majibu? 😂.
Huyo so called jenerali Mkunda ni mtupu sana kichwani aisee.
Kiwango chake cha kusoma hata hotuba tu aliyoandikiwa ni cha mtoto wa darasa la nne.
He is so dumb.
Ngabu, Nina watoto wadogo wananitegemea😹.
Ila hawa wapuuzi waache kabisa kuwachosha Madaktari.Hasa huyo aliyempiga Daktari🥹.
Yaani unapiga degree 3 kichwani zinazookoa uhai wa mtu kweli!??
Heri upige mtu mwenye degree za kupewa.
......
Last few months ago nimefanya operation...
Team nzima iliyokuwepo pale kuhakikisha kwamba napona, siyo mchezo.
Huyu anacheza na kile, yule anashika kile..Bado unazinduka after some hours,,Team iko pale kuhakikisha unapumua na kila complication unayopata wapo pale kufix.
Hakuna kilaza yeyote anaweza kufanya ile kazi.
..
Ila eti akili kubwa kama hizi ,kuna vilaza wachache wanataka kuzibugudhi.