MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Linaitwaje Hilo likiatu🤣🤣🤣
Linaitwaje Hilo likiatu🤣🤣🤣
Harukije? We mwanaume gan wewei? Unataka Trafiki akushike matako unyamaze kwa kuwa unaogopa kesi?Acha unafiki mwenzio kaharibikiwa wewe unasifia huyu haruki hii kesi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Harukije? We mwanaume gan wewei? Unataka Trafiki akushike matako unyamaze kwa kuwa unaogopa kesi?
Watu kama nyie ndio mnaotekwa na kubakwa kama kuku na akina mafwele.
choxo wewe hata kula yako mgogoro mpaka wakufumue marinda ndio unakula punga wewePunguza mdomo bibie....lofa wewe...
Sioni jipya kwenye matusi yako, isipokuwa jua kuwa anafungwaHarukije? We mwanaume gan wewei? Unataka Trafiki akushike matako unyamaze kwa kuwa unaogopa kesi?
Watu kama nyie ndio mnaotekwa na kubakwa kama kuku na akina mafwele.
Hakuna Dr. Anayefungwa wewe. Nyie ndio mnaoshikwa matako na Mafwele.Sioni jipya kwenye matusi yako, isipokuwa jua kuwa anafungwa
Hajafungwa,mbona kashatolewa bhana.Sioni jipya kwenye matusi yako, isipokuwa jua kuwa anafungwa
Kwani askari anatakiwa achomoe funguo,Nae atasema alikuwa anajihami, alijua ni ujambazi!Wanamng'ang'ania kweli kweli.....Kama mzaha atapigwa hukumu itakayobadilisha kabisa uelekeo wa maisha.Kwa ambao wanashangilia tusome hapa kuhusu Kanuni ya Adhabu inayohusu kumshambulia askari polisi.
- Kifungu 243(b): Mtu yeyote anayemshambulia, kumpinga, au kumzuia kwa makusudi afisa yeyote wa polisi wakati anatimiza wajibu wake anatenda kosa la kisheria.
- Adhabu: Mtu anayepatikana na hatia chini ya kifungu hiki anaweza kuhukumiwa kifungo cha jela cha hadi miaka mitano
Hakuna polisi asiye wa idara ya upelelezi anayetimiza majukumu yake huku amevaa rabaWanamng'ang'ania kweli kweli.....Kama mzaha atapigwa hukumu itakayobadilisha kabisa uelekeo wa maisha.Kwa ambao wanashangilia tusome hapa kuhusu Kanuni ya Adhabu inayohusu kumshambulia askari polisi.
- Kifungu 243(b): Mtu yeyote anayemshambulia, kumpinga, au kumzuia kwa makusudi afisa yeyote wa polisi wakati anatimiza wajibu wake anatenda kosa la kisheria.
- Adhabu: Mtu anayepatikana na hatia chini ya kifungu hiki anaweza kuhukumiwa kifungo cha jela cha hadi miaka mitano
Ni kweli siyo kesi kubwa hii ukilinganisha na ile aliyokua nayo Mhadhiri au hii ya Lissu. Ila kupata haki itategemea zaidi huruma ya Jamhuri, connections au bahati. Hawezi chomoka kwa 'acting under provocation'. Kulishtaki jeshi la police hata thubutu. Na nadhani hata yeye anajua kwamba itakuwa ni kupoteza muda.Hii ni kesi ndogo,inadhaminika,ila madaktari jana walitutisha kutuambia yuko ICU,kupitia picha mjongeo,jamaa yuko OK,apate wakili mzuri,ajenge utetezi thabiti wa acting under provocation, na baada ya kesi ya jinai kuisha, inakuja kesi ya
madai, kum tresspass dakitari bingwa!, jeshi la polisi linatiwa hatiani na kesi hii ndio mwisho wa tabia hii mbaya ya polisi kuchomoa funguo za magari ya watu kulazimisha rushwa!
P
Itakuwa mke wake hampikii vizuri na hampetipetiJamani Daktari amezidi kukonda....wamuache baba wa watu
Kwa bongo lolote linawezekana mkuu. Na kesi inaweza kuisha kimyakimya bila hata umma kujua iliishaje.Hapa Kuna mambo mengi
Kuna sura ya jeshi la polisi
Iwapo atapewa hukumu dhaifu watu wataona kumbe ni rahisi kuwapiga na hakuna impact, hii itaweza kuzaa kwa matukio mengine zaidi.
Ikiwa atapewa hukumu ngumu, polisi watapata kiburi zaidi na kuona kumbe Dola inawajali.
Iwapo itaisha kwa kuogopa public
Maana jeshi la polisi litakuwa limetezwa na hadhi yake.
Iwapo hukumu yoyote itatoka maisha ya daktari yatakuwa yameharibika ikiwemo upotezaji wa kazi yake.
Kila upande mzani unapo lalia Kuna maumivu.
Au hajaoa?Itakuwa mke wake hampikii vizuri na hampetipeti
Hili jambo walimalize nje ya ofisiJe sare zake zinahusisha raba za kiraia? Sijui sheria vizuri lakini je akisema alidhani ni kabaka kachukua funguo maana Traffic hana mamlaka ya kuchukua funguo na chini alikuwa kapiga raba mtumba
Huyu jamaa atakua na mazoezi ya karate sio kwa kumlaza chini bwana afande MDEBWEDOView attachment 3668048
Ameshuka kikomando. Shujaa wetu ana confidence ya uhakika.
Madaktari wengi huwa wana akili na hawapendi upuuzi wa kipuuzi kwenye mambo ya muhimu.Daktari bingwa wa magonjwa ya ndani katika Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila, Dk Conrad Agonza Kahyoza amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni Dar es Salaam, leo Septemba 10, 2026, baada ya kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kumshambulia askari wa Usalama Barabarani katika eneo la Lugalo, Dar es Salaam.
Tukio hilo lilitokea Jumanne Septemba 8, 2026 saa 1:30 asubuhi katika Barabara ya Bagamoyo, Lugalo, wakati askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani, F.8886 SGT Andrew, akitekeleza majukumu yake.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, askari huyo alikuwa akizuia magari yaliyokuwa yakitumia barabara ya huduma (Service Road) kinyume na utaratibu.
Matukio ya picha wakati alipofikishwa Mahakamani kusomewa shtaka moja la kushambulia mwili, katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Soma pia
Hii ni kweli kwa sababu ili kusomea udaktari ni lazima uwe umefanya vizuri sana darasani.Madaktari wengi huwa wana akili na hawapendi upuuzi wa kipuuzi kwenye mambo ya muhimu.