Kwani hiyo siyo gari?Hii gari iliyo milango wazi ndio ya specialist? Au yake haipo pichani wakuu?
Tutatumia ule mfumo wa Popoo mbili zavuka mto kumnusuru daktari bingwa na mijegeje ya manyampara.We waache tu, hata wakimfunga huyu daktari bingwa ipo siku polisi atapigwa tena na daktari wa mifugo.
najitolea kuwa mwanasheria wakeHapa naona kabisa daktari bingwa anaenda kunyea debe.
Hii haina comeback mwagito, labda Mungu aingilie kati.
Ukiisoma psychoanalysis ya Polisi unaona kabisa wanataka kutoa fundisho kwa watu wote, na huyu lazima awe mfano.
Cc: mjomba angu Harmful secretarybird @monetarydoctor Kalpana binti kiziwi Supapawa
😂😂😂😂😂😂 ila wizoNachungu sana....
Nadhindwa kuelewa...nadhindwa kuelewa
😀😀😀😀😁😁😁 mjomba jamani utaunganishwa kwenye kesi halafu nikose mjegejenajitolea kuwa mwanasheria wake
Mfumo gani huo?Tutatumia ule mfumo wa Popoo mbili zavuka mto kumnusuru daktari bingwa na mijegeje ya manyampara.
Utakuja kunipa jela acha ni uvae huu msala😀😀😀😀😁😁😁 mjomba jamani utaunganishwa kwenye kesi halafu nikose mjegeje
Nipo kwake hapa tuna kikao cha familia😂😂😂😂😂😂 ila wizo
Twende tukamuombee msamaha
Halafu mbaya zaidi imetokea mbele za watu na hasa ukizingatia teknolojia ilivyowezesha kukamata matukiao live yaani unaacha ushahidi tosha wa kukufunga.Polisi huwa wanapigwa sana.Ila sasa mkishapigana hakikisha mnamalizana.Ama kwa kupigwa wewe au kwa kumalizana kiutu uzima.Ila Ukienda Mahakamani ni Kosa kubwa
Makebo makubwa njoo.....Yaani sio anafikishwa mahakamani na kuhukumiwa, huyu ni wa kuonea huruma maana anaenda kufutwa udaktari
Kumpiga na tena ni mfanyakazi wa serikali hio sio miiko ya udaktari, kwa kweli ausahau.
Mwanzo wa maisha magumu
Akipigwa hizo mvua wewe unachokonoka/kuumia/kuwashwa wapi? Ukizitaka na wewe hizo mvua Traffic wako wengi sana piga mmoja husda ikuishe.Mpongeze ila sasa hapo alipo ameshasomeshwa sheria na akilini mwake anatamani hata kuomba msamaha ila sasa shida ni kwamba mnamshangilia sana na akishangiliwa anapewa mvua ya miaka.Au Hamjui mchezo wa siku hizi nchini?
- Kifungu 243(b): Mtu yeyote anayemshambulia, kumpinga, au kumzuia kwa makusudi afisa yeyote wa polisi wakati anatimiza wajibu wake anatenda kosa la kisheria.
- Adhabu: Mtu anayepatikana na hatia chini ya kifungu hiki anaweza kuhukumiwa kifungo cha jela cha hadi miaka mitano
Maisha magumu kwake au kwako? Kama kwake wewe unatekenyeka wapi? Acha kujipa umuhimu kwenye maisha ya mwanaume mwenzako.Yaani sio anafikishwa mahakamani na kuhukumiwa, huyu ni wa kuonea huruma maana anaenda kufutwa udaktari
Kumpiga na tena ni mfanyakazi wa serikali hio sio miiko ya udaktari, kwa kweli ausahau.
Mwanzo wa maisha magumu