Hongera kamanda Dr. Kwa kumtia adabu huyo mpuuzi.
View attachment 3667587
Mkuu si unaliona koti jeupe la daktari hapo kwenyr gari mlango waziHii gari iliyo milango wazi ndio ya specialist? Au yake haipo pichani wakuu?
Mkuu si unaliona koti jeupe la daktari hapo kwenyr gari mlango wazi
Kumbuka Hii kesi tayari Ina Public interest, Mwamba anaweza kupigwa Faini ama kifungo Cha nje ili kupunguza kelele Mitaani. Na kama ni kifungo Cha ndani hawawezi kumpa Miaka Gerezani.Wanamng'ang'ania kweli kweli.....Kama mzaha atapigwa hukumu itakayobadilisha kabisa uelekeo wa maisha.Kwa ambao wanashangilia tusome hapa kuhusu Kanuni ya Adhabu inayohusu kumshambulia askari polisi.
- Kifungu 243(b): Mtu yeyote anayemshambulia, kumpinga, au kumzuia kwa makusudi afisa yeyote wa polisi wakati anatimiza wajibu wake anatenda kosa la kisheria.
- Adhabu: Mtu anayepatikana na hatia chini ya kifungu hiki anaweza kuhukumiwa kifungo cha jela cha hadi miaka mitano
Udaktari ni WItOBasi situation na maslahi ya madaktari inahitaji major overhaul aisee! Kwa hali hiyo lazima atakuwa na stress sana na kukosa busara ya kufanya maamuzi kama hivi. Huenda huko kwake anachapa sana wanae kwa hasira za hali halisi ya maisha
Askari kumnyan'ganya funguo dereva ndio kutimiza wajibu wake?Wanamng'ang'ania kweli kweli.....Kama mzaha atapigwa hukumu itakayobadilisha kabisa uelekeo wa maisha.Kwa ambao wanashangilia tusome hapa kuhusu Kanuni ya Adhabu inayohusu kumshambulia askari polisi.
- Kifungu 243(b): Mtu yeyote anayemshambulia, kumpinga, au kumzuia kwa makusudi afisa yeyote wa polisi wakati anatimiza wajibu wake anatenda kosa la kisheria.
- Adhabu: Mtu anayepatikana na hatia chini ya kifungu hiki anaweza kuhukumiwa kifungo cha jela cha hadi miaka mitano
Afande nyati alizidiwa ubavu na jamaa , all in all , itafutwe namna jambo hili limalizweIla kamnda hapo inaonekana kazidiwa pamoja na mafunzo ya kijeshi aliyopitia,ndio maana Marekani ili uwe askari lazima uwe tall na uwe pia umejazia kiasi flani...
Hilo neno "wito" ni grease ya kulainisha nyoyo za waja.Basi hata kuishi tu ni wito.Udaktari ni WItO
Wito unalipa ada na kodi ?Udaktari ni WItO
Halafu,kwani huyo dokta alipotakiwa asimamishe gari,aligoma au kukimbia? Sheria ni mzani unaopima pande zote kwa haki.Askari kumnyan'ganya funguo dereva ndio kutimiza wajibu wake?
Hebu tuwekee sheria inayomruhusu askari kumnyan'ganya dereva funguo kama ikitokea wametofautiana.
Huwezi kuchukua funguo ya gari langu kwa nguvu kwasababu ya nafasi yako kisha uniambie nimevunja sheria adhabu yake miaka mitano.
Mkuu;Mimi wala sihitaji kubishana na wewe.Mm nimekuonesha tu kwamba wakati mkiwa mnamshangilia Fahamuni kabisa kwamba Dakatri Bingwa anaweza kujikuta anabebeshwa miaka 5 bial kujali kama alinyang'anywa Mke au alinyang'anywa Funguo.Hayo mengine ni ya kwako na hisia zako ila Next time ukitaka kumpiga Askari hakikisha inakuwa ni self defence tena iwe nyumbani kwako n ni usiku na asiwe na silaha.Askari kumnyan'ganya funguo dereva ndio kutimiza wajibu wake?
Hebu tuwekee sheria inayomruhusu askari kumnyan'ganya dereva funguo kama ikitokea wametofautiana.
Huwezi kuchukua funguo ya gari langu kwa nguvu kwasababu ya nafasi yako kisha uniambie nimevunja sheria adhabu yake miaka mitano.
Mimi Nina kaka askari ila alitimuliwa kazi kwa kumpiga MKUU WAKE WA KAZI OCDAskari kumnyan'ganya funguo dereva ndio kutimiza wajibu wake?
Hebu tuwekee sheria inayomruhusu askari kumnyan'ganya dereva funguo kama ikitokea wametofautiana.
Huwezi kuchukua funguo ya gari langu kwa nguvu kwasababu ya nafasi yako kisha uniambie nimevunja sheria adhabu yake miaka mitano.
Acha kuangalia movieIla kamnda hapo inaonekana kazidiwa pamoja na mafunzo ya kijeshi aliyopitia,ndio maana Marekani ili uwe askari lazima uwe tall na uwe pia umejazia kiasi flani...
Sio kufungwa huyu huyu anaenda kunyangwanywa na usajili wa kufanya kazi kama daktari, ni majangaMkuu;Mimi wala sihitaji kubishana na wewe.Mm nimekuonesha tu kwamba wakati mkiwa mnamshangilia Fahamuni kabisa kwamba Dakatri Bingwa anaweza kujikuta anabebeshwa miaka 5 bial kujali kama alinyang'anywa Mke au alinyang'anywa Funguo.Hayo mengine ni ya kwako na hisia zako ila Next time ukitaka kumpiga Askari hakikisha inakuwa ni self defence tena iwe nyumbani kwako n ni usiku na asiwe na silaha.