Sijatumwa Bwana.Huu mchezo naufahamu.Kwa sasa yuko chini ya huruma ya Bwana HakimuPumbafu wewe na waliokutuma!
Fain yake kias gan.......?Wanamng'ang'ania kweli kweli.....Kama mzaha atapigwa hukumu itakayobadilisha kabisa uelekeo wa maisha.Kwa ambao wanashangilia tusome hapa kuhusu Kanuni ya Adhabu inayohusu kumshambulia askari polisi.
- Kifungu 243(b): Mtu yeyote anayemshambulia, kumpinga, au kumzuia kwa makusudi afisa yeyote wa polisi wakati anatimiza wajibu wake anatenda kosa la kisheria.
- Adhabu: Mtu anayepatikana na hatia chini ya kifungu hiki anaweza kuhukumiwa kifungo cha jela cha hadi miaka mitano
relate na hizo kazi nilizozitaja hapo juuMuitikio wa kuitwa wenye nia ya kushiriki kiujuzi,upendo,mahitaji na imani kwa jambo husika.
Yes unaweza kufanya hivyo. Sio tu kesi ya kipigo hata ya kuua Kuna utetezi inaitwa PROVOCATION. Unaweza ua mtu ukikasirishwa iliyopitiliza na ukaachiwa huru au kupata lesser punishment. Utetezi mwingine ni "self defense" ; bonafide claim of right (kutetea mali yako japo kwa mazingira ya case hii ni ngumu maana hawezi sema traffic alitaka kuiba gari lake).Kusema kuchokozwa ni utoto wa hali ya juu sana, au labda ndio akili ya mtu mweusi anadhani unaweza kusimama mbele ya hakimu kujitetea kusema ulichokozwa, aiseeee
Kutoka daktari, kuwa mfungwa na kutoka hujui mbele wa nyuma, na hapo hapo umefutiwa usajili wa kufanya kazi kama daktari ni maisha magumu sana kwa nchi za kiafrika, tena sana, ni sekunde kuwehuka
Lazima atahukumiwa na atakaa kwa muda mfupi gerezani kisha atapewa probationWanamng'ang'ania kweli kweli.....Kama mzaha atapigwa hukumu itakayobadilisha kabisa uelekeo wa maisha.Kwa ambao wanashangilia tusome hapa kuhusu Kanuni ya Adhabu inayohusu kumshambulia askari polisi.
- Kifungu 243(b): Mtu yeyote anayemshambulia, kumpinga, au kumzuia kwa makusudi afisa yeyote wa polisi wakati anatimiza wajibu wake anatenda kosa la kisheria.
- Adhabu: Mtu anayepatikana na hatia chini ya kifungu hiki anaweza kuhukumiwa kifungo cha jela cha hadi miaka mitano
Wamsamehe ikiwezekana akubali uhamisho au hata kwenda nchi za nje KUTIBIA.Hapa Kuna mambo mengi
Kuna sura ya jeshi la polisi
Iwapo atapewa hukumu dhaifu watu wataona kumbe ni rahisi kuwapiga na hakuna impact, hii itaweza kuzaa kwa matukio mengine zaidi.
Ikiwa atapewa hukumu ngumu, polisi watapata kiburi zaidi na kuona kumbe Dola inawajali.
Iwapo itaisha kwa kuogopa public
Maana jeshi la polisi litakuwa limetezwa na hadhi yake.
Iwapo hukumu yoyote itatoka maisha ya daktari yatakuwa yameharibika ikiwemo upotezaji wa kazi yake.
Kila upande mzani unapo lalia Kuna maumivu.
Kazi za awali nimekufanyia,malizia kuhusianisha kuhusu hitaji,imani,upendo na ujuzi.relate na hizo kazi nilizozitaja hapo juu
Rubbish...Mpongeze ila sasa hapo alipo ameshasomeshwa sheria na akilini mwake anatamani hata kuomba msamaha ila sasa shida ni kwamba mnamshangilia sana na akishangiliwa anapewa mvua ya miaka.Au Hamjui mchezo wa siku hizi nchini?
- Kifungu 243(b): Mtu yeyote anayemshambulia, kumpinga, au kumzuia kwa makusudi afisa yeyote wa polisi wakati anatimiza wajibu wake anatenda kosa la kisheria.
- Adhabu: Mtu anayepatikana na hatia chini ya kifungu hiki anaweza kuhukumiwa kifungo cha jela cha hadi miaka mitano
Hii ni kesi ndogo,inadhaminika,ila madaktari jana walitutisha kutuambia yuko ICU,kupitia picha mjongeo,jamaa yuko OK,apate wakili mzuri,ajenge utetezi thabiti wa acting under provocation, na baada ya kesi ya jinai kuisha, inakuja kesi yaJamaa naona anatembea kama ana nesanesa ebhanaeee
Oyaa Pascal Mayalla jamaa aachie karma tuu ifanye kazi yake si ndio 😄
anatembelea gari la mshahara halisi ambao nyuma yake hauna vilio na umwagaji damu....Basi situation na maslahi ya madaktari inahitaji major overhaul aisee! Kwa hali hiyo lazima atakuwa na stress sana na kukosa busara ya kufanya maamuzi kama hivi. Huenda huko kwake anachapa sana wanae kwa hasira za hali halisi ya maisha
Kmmmae hii picha nitaitengenezea fremu kubwa kabisaHongera kamanda Dr. Kwa kumtia adabu huyo mpuuzi.
View attachment 3667587
hizo kazi sio wito watu kwasababu watu hawasukumwi na nguvu ya ndani they just do kujipatia kipatoKazi za awali nimekufanyia,malizia kuhusianisha kuhusu hitaji,imani,upendo na ujuzi.
Yes lazima alikuwa provoked Hapo utakuta posho zake zaidi ya 12m hajalipwa! Yaani hizi kazi za umma stress nje nje. Hata huyo traffic ukute kaamka na wenge la ulevi, basi vurugu tupu!Hii ni kesi ndogo,inadhaminika,ila madaktari jana walitutisha kutuambia yuko ICU,kupitia picha mjongeo,jamaa yuko OK,apate wakili mzuri,ajenge utetezi thabiti wa acting under provocation, na baada ya kesi ya jinai kuisha, inakuja kesi ya
madai, kum tresspass dakitari bingwa!, jeshi la polisi linatiwa hatiani na kesi hii ndio mwisho wa tabia hii mbaya ya polisi kuchomoa funguo za magari ya watu kulazimisha rushwa!
P
Kwa sababu zipi hasa?hizo kazi sio wito watu kwasababu watu hawasukumwi na nguvu ya ndani they just do kujipatia kipato
Kazi za wito ni kama upadre,ukunga,unes, udaktari,upastor...nk
Tatizo hujioni ulivyo shabiki wa askari uliyeamua kuweka taaluma pembeni.Haya bwana.Wacha niache washabiki muendele kushabikia.Ila Fahamu kwamba atakapofikishwa mahakamani kuna kauli inasemaga ili awe fundisho kwa wengine.Unajua maana ya kumfanya mtu awe fundisho kwa wengine wenye tabia za kupiga askari?Unafahmu kwa hadhi yake ya kuwa Specialist wa Internal Medicine wakitaka kumfanya mfano wanamfanyaje?Inawezekana wewe hujawahi pata kesi ambayo unakuja kugundua uzito wa kosa tayari ushalifanya na namna ambavyo huwa unatamani urudishe muda nyuma usirudie makosa.
Kwa sasa hivi fahamu tu kwamba Bwana Daktari yuko chini ya huruma ya Mahakama na Hakimu anaweza mpa adhabu yoyote ile kwa mujibu wa sheria inaweza kuwa miezi 6,mwaka au hata akapaewa kazi ya kufanya usafi polisi ila tu HILO ni KOSA KUBWA na sio kosa DOGO.Ukishaelewa hilo basi fahamu kabisa hakimu akiwa ameamka vibaya anaweza Mtandika miaka 5 amwache nayo ahangaike nayo kwenye RUFAA.
Jela sio sehemu nzuri kwa mtu aliyekaa Darasani akisome Udaktari mapaka anafikia hatua ya KUWA Specialist
unataka sababu za angle gani 1 au 2Kwa sababu zipi hasa?
Kwa miruko wa mapana na urefu wa kushawishi na kueleweka.unataka sababu za angle gani 1 au 2