Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,951
- 19,766
Acha unafiki mwenzio kaharibikiwa wewe unasifia huyu haruki hii kesiHongera kamanda Dr. Kwa kumtia adabu huyo mpuuzi.
View attachment 3667587
Acha unafiki mwenzio kaharibikiwa wewe unasifia huyu haruki hii kesiHongera kamanda Dr. Kwa kumtia adabu huyo mpuuzi.
View attachment 3667587
Sheria ina ujinga wake.Hapo inategemea upande upi utapendwa na huo ujinga baada ya mabishano yao.Acha unafiki mwenzio kaharibikiwa wewe unasifia huyu haruki hii kesi
Hii ni kesi ndogo,inadhaminika,ila madaktari jana walitutisha kutuambia yuko ICU,kupitia picha mjongeo,jamaa yuko OK,apate wakili mzuri,ajenge utetezi thabiti wa acting under provocation, na baada ya kesi ya jinai kuisha, inakuja kesi ya
madai, kum tresspass dakitari bingwa!, jeshi la polisi linatiwa hatiani na kesi hii ndio mwisho wa tabia hii mbaya ya polisi kuchomoa funguo za magari ya watu kulazimisha rushwa!
P
Daah😁Tatizo hujioni ulivyo shabiki wa askari uliyeamua kuweka taaluma pembeni.
Mwanzo umekuja na mbwembwe za sheria, nikajua unajielewa, kumbe vifungu viwili vya sheria vya kukariri!.
Nimesema udaktari ni WItO kwa sababu ni taaluma inayovuka mipaka ya ajira ya kawaida ya kujipatia kipato, huku dokta akiwa na utayari wa juu wa kujitolea, huruma, na kuweka maisha ya wengine mbele ya masilahi binafsi.Kwa miruko wa mapana na urefu wa kushawishi na kueleweka.
Duh, ka Askari hapa kalitia huruma aisee! Kamepigwa robber na magwanda yake!Hongera kamanda Dr. Kwa kumtia adabu huyo mpuuzi.
View attachment 3667587
Lakini bado ni ajira(ndani kabisa,core issue ni ujira).Sasa hizo zingine hawajitoi,hawana huruma wala hawatoi huduma?Nimesema udaktari ni WItO kwa sababu ni taaluma inayovuka mipaka ya ajira ya kawaida ya kujipatia kipato, huku dokta akiwa na utayari wa juu wa kujitolea, huruma, na kuweka maisha ya wengine mbele ya masilahi binafsi.
Nimependa alivyokunjwà.
Hiyo iliwahi kunikuta nimesimama nje pale Maisha Club, plain clothes police wametuzingira na wale madada wa ile kazi wakatuitia difenda kutuswaga, nikawagomea, ilikuwa shughuli!Yes lazima alikuwa provocade. Hapo utakuta posho zake zaidi ya 12m hajalipwa! Yaani hizi kazi za umma stress nje nje. Hata huyo traffic ukute kaamka na wenge la ulevi, basi vurugu tupu!
Police ni wababe sana wamewahi kunilaza ndani saa saba usiku kwa case ya uzururaji. Saa kumi na Moja wananiachia bila masharti. Wamechukua pesa zangu ila simu wameniachia. Nilipotaka kukomalia hela wakasema tutakugeuzia case. Kwa kuwa Mimi ni mwanasheria na mtumishi wa umma pia nikakubali yaishe. Huwezi kumshinda mjinga kwa kutunishiana misuli
Zingatia maneno mawili maslahi binafsi/ujanja ujanjaLakini bado ni ajira(ndani kabisa,core issue ni ujira).Sasa hizo zingine hawajitoi,hawana huruma wala hawatoi huduma?
Hakimu mhaya, mtuhumiwa mhaya, kwani kuna shida?Daktari bingwa wa magonjwa ya ndani katika Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila, Dk Conrad Agonza Kahyoza amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni Dar es Salaam, leo Septemba 10, 2026, baada ya kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kumshambulia askari wa Usalama Barabarani katika eneo la Lugalo, Dar es Salaam.
Tukio hilo lilitokea Jumanne Septemba 8, 2026 saa 1:30 asubuhi katika Barabara ya Bagamoyo, Lugalo, wakati askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani, F.8886 SGT Andrew, akitekeleza majukumu yake.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, askari huyo alikuwa akizuia magari yaliyokuwa yakitumia barabara ya huduma (Service Road) kinyume na utaratibu.
Soma pia
Kifo Cha mende.Yaan kakwida kisawa sawa, 😂😂😂
Wapo kirushwa rushwa tu muda wote. Siku hizi wakiingia anga zangu nawaambia NIPE MAELEKEZO AFANDE basi hapo wanapenda sana. Nawapa teni huyoooo ndukiHiyo iliwahi kunikuta nimesimama nje pale Maisha Club, plain clothes police wametuzingira na wale madada wa ile kazi wakatuitia difenda kutuswaga, nikawagomea, ilikuwa shughuli!
P
Mpongeze ila sasa hapo alipo ameshasomeshwa sheria na akilini mwake anatamani hata kuomba msamaha ila sasa shida ni kwamba mnamshangilia sana na akishangiliwa anapewa mvua ya miaka.Au Hamjui mchezo wa siku hizi nchini?
- Kifungu 243(b): Mtu yeyote anayemshambulia, kumpinga, au kumzuia kwa makusudi afisa yeyote wa polisi wakati anatimiza wajibu wake anatenda kosa la kisheria.
- Adhabu: Mtu anayepatikana na hatia chini ya kifungu hiki anaweza kuhukumiwa kifungo cha jela cha hadi miaka mitano
We waache tu, hata wakimfunga huyu daktari bingwa ipo siku polisi atapigwa tena na daktari wa mifugo.Hapa naona kabisa daktari bingwa anaenda kunyea debe.
Hii haina comeback mwagito, labda Mungu aingilie kati.
Ukiisoma psychoanalysis ya Polisi unaona kabisa wanataka kutoa fundisho kwa watu wote, na huyu lazima awe mfano.
Cc: mjomba angu Harmful secretarybird @monetarydoctor Kalpana binti kiziwi Supapawa
Nachungu sana....Hapa naona kabisa daktari bingwa anaenda kunyea debe.
Hii haina comeback mwagito, labda Mungu aingilie kati.
Ukiisoma psychoanalysis ya Polisi unaona kabisa wanataka kutoa fundisho kwa watu wote, na huyu lazima awe mfano.
Cc: mjomba angu Harmful secretarybird @monetarydoctor Kalpana binti kiziwi Supapawa
Huyu Police ilikuwaje akaangushwa kizembe namna hii ?Hongera kamanda Dr. Kwa kumtia adabu huyo mpuuzi.
View attachment 3667587