Daktari Bingwa wa Mloganzila, Conrad Agonza, anayedaiwa kumshambulia Trafiki afikishwa Mahakamani, 10/09/2026

Daktari Bingwa wa Mloganzila, Conrad Agonza, anayedaiwa kumshambulia Trafiki afikishwa Mahakamani, 10/09/2026

Maisha magumu kwake au kwako? Kama kwake wewe unatekenyeka wapi? Acha kujipa umuhimu kwenye maisha ya mwanaume mwenzako.

Wewe ambaye hujanyanganywa chochote una nini sasa? Wewe ni Me au Ke?
Wewe ***** naona unawashwawashwa mxundu
Maisha yangu wewe na huyo pumbavu hamtayafikia, wewe muda huu tafuta hela ya kula nyang'au wewe
 
Wanamng'ang'ania kweli kweli.....Kama mzaha atapigwa hukumu itakayobadilisha kabisa uelekeo wa maisha.Kwa ambao wanashangilia tusome hapa kuhusu Kanuni ya Adhabu inayohusu kumshambulia askari polisi.

  • Kifungu 243(b): Mtu yeyote anayemshambulia, kumpinga, au kumzuia kwa makusudi afisa yeyote wa polisi wakati anatimiza wajibu wake anatenda kosa la kisheria.
  • Adhabu: Mtu anayepatikana na hatia chini ya kifungu hiki anaweza kuhukumiwa kifungo cha jela cha hadi miaka mitano
So what. Kwani kunawangapi wako huko kwa makosa ya kusingiziwa. Chamhimu kamrekebisha adabu bwana afande. Bora uende jela kwa kugawa kipigo kwa hawa wendawazimu kuliko kesi ya kumpa mimba mwanafunzi
 
Woyooooooooooooooooooooo🤣🤣🤣🔥,,, Mungu ni mwema,
1789053728585.jpg


Waleteeeeeee

cocastic
 
Wamsamehe ikiwezekana akubali uhamisho au hata kwenda nchi za nje KUTIBIA.

Najua from no where huwezi pigana bila sababu... Ni kama Mimi hapa kwa WANAO NIFAHAMU WASIKIE NIMEMPIGA POLICE AKIWA NA SARE ZAKEEEEE ITASHANGAZA WATU
Je sare zake zinahusisha raba za kiraia? Sijui sheria vizuri lakini je akisema alidhani ni kabaka kachukua funguo maana Traffic hana mamlaka ya kuchukua funguo na chini alikuwa kapiga raba mtumba
 
hizo kazi sio wito watu kwasababu watu hawasukumwi na nguvu ya ndani they just do kujipatia kipato

Kazi za wito ni kama upadre,ukunga,unes, udaktari,upastor...nk
Ila hizo so called 'kazi za wito' nyingi nyuma yake mwitwaji anatoka kwenye familia masikini au ya kipato cha chini. Wito halisi mimi huwa nauona kwa madaktari. Hawa wengine wamelenga kipato tu. I stand to be corrected.
 
Wewe ***** naona unawashwawashwa mxundu
Maisha yangu wewe na huyo pumbavu hamtayafikia, wewe muda huu tafuta hela ya kula nyang'au wewe
Hoja zimeisha umeanza matusi. Yaani muda huu ndiyo nikatafute hela 😂😂😂😂.
Siyo wote tunatafutq hela kila siku kama kuku.
 
Back
Top Bottom