peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Wanaume nimegundua ni muhimu kwa wanawake wa Hilo Rika
Mwanamke miaka 30 bila mume lazima depression imsumbue asipokuwa makini.Daktari bingwa wa watoto kutoka Hospitali teule ya Kibosho Wilayani Moshi Mkoani Kilimanjaro, Magreth Joseph Swai (30) ameripotiwa kujiua kwa kujinyonga kwa kutumia waya wa antena.
Akizungumza kuhusu tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro SACP Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo ameeleza kuwa tukio hilo lilitokea Julai 10,2025 majira ya saa tatu kamili usiku katika makazi yake yaliyopo Longuo Kata ya Longuo,Tarafa ya Moshi Magharibi.
Amesema Marehemu alitumia waya wa ntena alioufunga kwenye nondo ya mlango wa chumbani katika nyumba aliyokuwa anaishi.
"Chanzo cha tukio hilo ni msongo wa mawazo uliotokana na afya ya akili ambapo Marehemu alifunga waya huo kwenye nondo iliyopo juu ya mlango na kujitundika" alisema SACP Maigwa.
RPC Maigwa ameongeza kuwa marehemu alianza kuugua ugonjwa wa afya ya akili akiwa katika mafunzo kwa vitendo kama Daktari maalum wa watoto miaka minne iliyopita.
Taarifa hizi zinakuja wakati ambapo Mfanyabiashara mmoja mkazi wa Moshi,Msaranga Ronald Malisa (35) naye akiripotiwa kujinyonga Julai 10,2025 kwa shuka bafuni kwake kwa sababu zisizojulikana, miezi nane baada ya kufunga ndoa yake ambapo mazishi yake yanatarajiwa kufanyika Julai 15,2025.
Alijikita kusoma,akasahau ya wanaume,kumbe nao ni muhimu kama masomo yakeMwanamke miaka 30 bila mume lazima depression imsumbue asipokuwa makini.
May her good soul RIP
Hakuna wataalamu bongo tuna wajuaji tu kama unabisha bisha mm mwenyw ni mjuaji wa mambo ya elimuIla kuna daktar
i wa nini mkuu? Acha wivu basi
Wewe ni daktari bingwa , unakua na msongo wa mawazo kwa sababu ipi...unajua maana ya daktari bingwa...? Huyu Bado Mdogo hata angeamua ajiendeleze zaidi angekua na more bright future ..mzee watu wanachungulia wanakuona una bright future na unatishia nafasi zao ukiwa huna ulinzi wowote kiroho wanakusepesha tu...Kajinyonga kwa msongo wa mawazo na sio kutuliwa kitu, hujaisoma habari shekhe??
Angekua anatoka na kupata bia moja mbili tatu na marafiki ungekuta now anakula tu ugali🤔Rip
Ila Depression is real , na ubaya wa depression ukiipata unakuwa hauitaji chochote iwe Kazi ,watu n.k
I 'v been through I understand
Wewe ni daktari bingwa , unakua na msongo wa mawazo kwa sababu ipi...unajua maana ya daktari bingwa...? Huyu Bado Mdogo hata angeamua ajiendeleze zaidi angekua na more bright future ..mzee watu wanachungulia wanakuona una bright future na unatishia nafasi zao ukiwa huna ulinzi wowote wanakusepesha tu...
Watu wengi hasa wasomi wanashindwa kubalance haya mambo...kila kitu kina umuhimu wake na kwa wakati wakeAlijikita kusoma,akasahau ya wanaume,kumbe nao ni muhimu kama masomo yake
Angekua anatoka na kupata bia moja mbili tatu na marafiki ungekuta now anakula tu ugali🤔
Mhm , yanawatesa akiwa anamtaka tajiri ila ukiwa kisoda wala hawana mdaItakuwa mapenzi tu wnawake mapenzi yanawatesa sana
Tafuta sehemu uyaongee mambo yako kwa mtu usie mjuaMtu anaweza kuwa anaongea na watu ana cheka vizuri ila ndani ana msongo wa mawazo.
Imani za kiwaki hizo, wewe uliishi nae?Wewe ni daktari bingwa , unakua na msongo wa mawazo kwa sababu ipi...unajua maana ya daktari bingwa...? Huyu Bado Mdogo hata angeamua ajiendeleze zaidi angekua na more bright future ..mzee watu wanachungulia wanakuona una bright future na unatishia nafasi zao ukiwa huna ulinzi wowote wanakusepesha tu...
Atakuwa Na MMed -paediatricSifikirii Kama huyo amefika viwango vya kuitwa Daktari bingwa
Inategemea utajiri ni neno tu Ila kumuingia MTU akilini kwake hadi akawa anakufikiria 25/27 is an artMhm , yanawatesa akiwa anamtaka tajiri ila ukiwa kisoda wala hawana mda
Af sipendi muwe mna mtag tag sana mama uswege