Daktari bingwa wa Watoto Kibosho, ajiua Kisa Msongo wa Mawazo

Mwanamke miaka 30 bila mume lazima depression imsumbue asipokuwa makini.

May her good soul RIP
 
Kajinyonga kwa msongo wa mawazo na sio kutuliwa kitu, hujaisoma habari shekhe??
Wewe ni daktari bingwa , unakua na msongo wa mawazo kwa sababu ipi...unajua maana ya daktari bingwa...? Huyu Bado Mdogo hata angeamua ajiendeleze zaidi angekua na more bright future ..mzee watu wanachungulia wanakuona una bright future na unatishia nafasi zao ukiwa huna ulinzi wowote kiroho wanakusepesha tu...
 
 
Imani za kiwaki hizo, wewe uliishi nae?

Waliokua nae wameeleza alikua na tatizo hilo, wewe unakazana alitupiwa vitu.

Kwahiyo daktari bingwa hana matatizo??
 
Mhm , yanawatesa akiwa anamtaka tajiri ila ukiwa kisoda wala hawana mda
Inategemea utajiri ni neno tu Ila kumuingia MTU akilini kwake hadi akawa anakufikiria 25/27 is an art

So you never know , alikuwa anapitia nini Ila kwa navyoelewa wanawake wanayachukulia mahusiano kwa uzito kwakuwa yanachukua sehemu kubwa ya maisha yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…