Daktari bingwa wa Watoto Kibosho, ajiua Kisa Msongo wa Mawazo

Chanzo cha tukio hilo ni msongo wa mawazo uliotokana na afya ya akili ambapo Marehemu alifunga waya huo kwenye nondo iliyopo juu ya mlango na kujitundika
Mtoto mrembo anajinyonga vipi sasa na utamu wake jamani?
 
Taarifa zinaweza zakuuzia gazeti na mahojiano unayosoma maandishi yasiyo na ushahidi wa sauti au video usiyaamini.
Tunayaamini maana tunapenda simulizi mkuu sio kingine yeye asimulie tu hatuna muda wa kuhoji video na sauti za ushahidi
 
Mawazo sio mazuri muwe mna tembea mnaongea na watu mimi nikiwa na stresss nachukua namba mtandaoni akipokea tu naanza kujieleea weeee mpaka nione moyo umekuwa mwepesi ndio naacha
Mi siku hz huku whattsapp kuna hili li AI,basi nazinguana nalo weeee,tunazinguana weeeee,basi nacheeeeka linavyojibu,hapo stress zinakwisha kabisa
 
Demu mzuri hivyo anaondoka hivi hivi pole sana. Lakini hiki kizazi cha kuanzia late 80s kuja mpaka 2000 kina matatizo makubwa. Hakijapitia misukosuko kama kizazi cha nyuma kuanzia early 1980s mpaka late 1960s.
 
Leo ni siku ya kumsindikiza bro hapa mvua imeanza kunyesha wakati nataka kuenda KCMC kumuandaa kwaajili ya safari yake ya mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…