Daktari bingwa wa Watoto Kibosho, ajiua Kisa Msongo wa Mawazo

Dawa nzuri ya msongo wa mawazo ni kuachiliwa tu kwann ubebe watu ubebe vitu.
 
Nimekuwa mtu wa kupuuzia tatizo lolote linakuja ma kusema litapita i dont care....kwa suala la mahusiano sihangaiki na simu ya mwenza....hata nifumanie siumii kwani sikuzaliwa na mtu....sasa hii.sijui kitaalam imekaaje
 
Innalilah wahinnalilah rajiun
yika Julai 15,2025.
 
Mawazo sio mazuri muwe mna tembea mnaongea na watu mimi nikiwa na stresss nachukua namba mtandaoni akipokea tu naanza kujieleea weeee mpaka nione moyo umekuwa mwepesi ndio naacha
Mimi ni bodaboda. Nikiwa stressed sana huwa naanza kuwasimulia abiria wangu baadhi hasa wanawake kupata ushauri. Huwa inasaidia sana kupata relief. Na ikizingatia abiria kwangu hawajirudii maana ni bolt
 
Duh.... pole kwa familia zao...,

Inahuzunisha sana...
Kwakweli inahidhunisha, huyu dada ndio alianza kuzitimiza ndoto za maisha yake, huyo mwengine nae ndio ana miezi 9 ya ndoa lakini mwishowe wote wakahitimisha maisha yao kwa njia moja. Ila naomba polisi wasiishie hapo tu kuhitimisha, mtu anajinyongaje mlangoni, Sehemu ambayo anaweza akagusa na kujisaidia?
 
Upweke ni mbaya Sana ndio maana nazipigia chapuo shule za Kayumba. Kule hakuna upweke. Watoto ni wengi so wanapata nafasi ya kucheza Michezo mingi kwa pamoja na kwa furaha.

EMS sasa. Darasa Moja wanafunzi Saba tu. Ni upweke juu ya upweke. Mtu anaanza ku experience upweke tangu akiwa mtoto mdogo, hii haikubaliki.

Mwanadamu anatakiwa kuishi maisha yake to the fullest.

Na nyakati pekee ambayo Ina guarantee mwanadamu kuishi maisha yake to the fullest ni kwenye utoto wake ( 0-13)

Ukubwani mwanadamu ana kutana na stress nyingi.

Haya sasa twende kazi, kimbia haraka sana kamtoe mwanao shule ya EMS mrejeshe Kayumba. Thank me later

Rest In Peace na poleni Sana wafiwa na wale wote mlioguswa na msiba huu
 
Kuhusu huyo mwanamke sijui ila bro wangu najua. Ndio naelekea KCMC kuchukua mwili
 
Labda kama ni madeni.

Jifunzeni kuhesabu baraka zenu mnapopitia nyakati ngumu.
 
Upo sawa kabisa
Mimi ni bodaboda. Nikiwa stressed sana huwa naanza kuwasimulia abiria wangu baadhi hasa wanawake kupata ushauri. Huwa inasaidia sana kupata relief. Na ikizingatia abiria kwangu hawajirudii maana ni bolt
p
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…