Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Afande rama shikilia hapo hapo, hii case ndogo kwakoo, kwanza hadi hapa hii ni irrelevant case,
Ushahidi wa kuingiliwa kinyume na maumbile ni sperms, yaan shahawa sasa km hajakutwa nazo, case inaendelea vipi???
Afande rama aachiwe huru. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu weuweeeeer
Rama akaombe visa asepe zake utashangaa akienda Nje anaanza baba magauni kama Dayon