Daktari kesi ya Afande Rama asema baada ya vipimo amebaini kuna uwazi sehemu za siri za nyuma za mshtakiwa

Daktari kesi ya Afande Rama asema baada ya vipimo amebaini kuna uwazi sehemu za siri za nyuma za mshtakiwa

Afande rama shikilia hapo hapo, hii case ndogo kwakoo, kwanza hadi hapa hii ni irrelevant case,

Ushahidi wa kuingiliwa kinyume na maumbile ni sperms, yaan shahawa sasa km hajakutwa nazo, case inaendelea vipi???

Afande rama aachiwe huru. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu weuweeeeer

Rama akaombe visa asepe zake utashangaa akienda Nje anaanza baba magauni kama Dayon
 
Afande rama shikilia hapo hapo, hii case ndogo kwakoo, kwanza hadi hapa hii ni irrelevant case,

Ushahidi wa kuingiliwa kinyume na maumbile ni sperms, yaan shahawa sasa km hajakutwa nazo, case inaendelea vipi???

Afande rama aachiwe huru. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu weuweeeeer
Sasa kilichomtanua tuzi nini???

Ila vitu vingine vinataka ujasiri, kumchunguza mkund* mwanaume mwenzio kama anaingiliwa yataka moyo😂😂😂😂😂.
 
Jamaa alijisikia raha sana wakati anapimwa na dokta.. Hasa dokta alipojaribu kupitisha vidole viwili maana kimoja kilipwaya [emoji23]
Ukute kipindi dokta anafanya vipimo alikuwa anarembua kabisa kama alivyorembua kwenye IST.

Ila katika hili sakata lote mbona sijasikia mshirika wake wa video akitajwa?? Kwahiyo kosa ni kwa mfanywaji tu na si mfanyaji??
 
Afande rama shikilia hapo hapo, hii case ndogo kwakoo, kwanza hadi hapa hii ni irrelevant case,

Ushahidi wa kuingiliwa kinyume na maumbile ni sperms, yaan shahawa sasa km hajakutwa nazo, case inaendelea vipi???

Afande rama aachiwe huru. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu weuweeeeer
Kuna hadi electronic evidence wakati akiingiliwa.
 
Naona maswali muhimu sana ambayo sina hakika kama yameulizwa ni;

1. Shihidi aieleze Mahakama kama yeye ni mtaalamu wa mfumo wa chakula wa mwanadamu na kama ametoa ushahidi kuthibitisha hilo

2. Shahid, upo uwezekano wa puru/m.kundu wa mwanadamu kuwa wazi kutokana.na maradhi kama bawasiri?

3. Shahidi mlimpima mshtakiwa kama anaugonjwa wa bawasiri?

4. Shahidi, ieleze Mahakama bawasiri zipo ya aina ngapi na huwa inaathiri sehemu gani ya mwili wa mwanadamu

5. Je, upo uwezekano mtuhumiwa kuwa na ugonjwa wa bawasiri

6. Shahidi kama mtaalamu wa afya je, wapo watu wanaozaliwa na uwazi kama alionao mtuhumiwa?

7. Je, na wao wameupata kwa kuingiliwa na vitu vigumu kwa nje?

8. Vitu vigumu unavyovitaja ni vitu gani hivyo, shahidi?

Alafu inavutwa pumzi maana maswali yanayofuata yataharibu swaumu za waja.

Uwazi sio hitimisho kuwa mtu analiwa tako.
Naona unataka kumtetea 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom