Daktari kesi ya Afande Rama asema baada ya vipimo amebaini kuna uwazi sehemu za siri za nyuma za mshtakiwa

Daktari kesi ya Afande Rama asema baada ya vipimo amebaini kuna uwazi sehemu za siri za nyuma za mshtakiwa

Wait
Kuna binadamu aliyeumbwa na nyama ukimpitisha vidole viwili havipiti tuwe serious
 
Wakili wake nae Lazima vinapita vidole vitatu....si bure
Wakili yupo kazini sawa na Mkunga wa kiume anazalisha ila yeye hazai. Watu wanatakiwa kufahamu kuwa kama wakili akikataa kumwakilisha mteja Mahakamani kwa sababu za kibaguzi anaweza kufutiwa hadi leseni yake.
 
Pambaneni na hali zenu msituchoshe na habari za upunga kila siku hata mvua hazinyeshi...[emoji35]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mvua zinazonyesha mwanza hapa ni za USAGAJI ama?

IMG_20230405_093533_916.jpg
IMG_20230405_082920_051.jpg
IMG_20230403_165847_668.jpg
 
Naona maswali muhimu sana ambayo sina hakika kama yameulizwa ni;

1. Shihidi aieleze Mahakama kama yeye ni mtaalamu wa mfumo wa chakula wa mwanadamu na kama ametoa ushahidi kuthibitisha hilo

2. Shahid, upo uwezekano wa puru/m.kundu wa mwanadamu kuwa wazi kutokana.na maradhi kama bawasiri?

3. Shahidi mlimpima mshtakiwa kama anaugonjwa wa bawasiri?

4. Shahidi, ieleze Mahakama bawasiri zipo ya aina ngapi na huwa inaathiri sehemu gani ya mwili wa mwanadamu

5. Je, upo uwezekano mtuhumiwa kuwa na ugonjwa wa bawasiri

6. Shahidi kama mtaalamu wa afya je, wapo watu wanaozaliwa na uwazi kama alionao mtuhumiwa?

7. Je, na wao wameupata kwa kuingiliwa na vitu vigumu kwa nje?

8. Vitu vigumu unavyovitaja ni vitu gani hivyo, shahidi?

Alafu inavutwa pumzi maana maswali yanayofuata yataharibu swaumu za waja.

Uwazi sio hitimisho kuwa mtu analiwa tako.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Nimekaa mahali,nliposoma hii habar nikajisemea hii kesi wameletewa wanajamiiforum wator hukumu mmh[emoji848]baada ya kuanza kusoma comments sasa sina mbavu[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Zile video inamaanisha kasingiziwa, mm niliona zote mbili na ile ya video call nikatapika balaa. Anakataa nn sasa. Mwizi ukimsikiliza anashinda kesi
Kwa mfano ndio wewe umepandishwa kizimbani na kidhibiti ukasomewa mashtaka kwa mara ya kwanza utakubali au utakana?,nijibu pls
 
Nimekaa mahali,nliposoma hii habar nikajisemea hii kesi wameletewa wanajamiiforum wator hukumu mmh[emoji848]baada ya kuanza kusoma comments sasa sina mbavu[emoji2][emoji2][emoji2]

Hivi na wewe unawaamini madaktari kabisa? Usikute aliweka ngumi kabisa kwa bwana rama akaona aseme ni vidole viwili tu hawaamini hawa
 
Back
Top Bottom