Daktari wa Hospitali ya Amana asomewa mashtaka ya ubakaji, ulawiti

Ipo. Sheria inaruhusu sex na under age kama mmefunga ndoa halali tu.

Sheria ya ndoa imeruhusu binti wa miaka 15 kufunga ndoa kama wazazi wake wameridhia na yeye binti ameridhia. Na asiwe mwanafunzi wa shule yoyote.
Pls wapi ninaweza kukitafuta kipengele hiki kinachoruhusu ndoa hizi,juzi kati Tanzania tulikua katika news mbaya, tunaongoza Africa kwa under age forced marriage, umri wa 15yrs huwezi kusema ana uwezo to apply her mind kuhusu ndoa, huu ni ushenzi na ukatili towards watoto wa kike
 
Hakuna kesi... Kesi imeiisha hiyo...
Wazaz wanafosi mambo tu hapo nadhani baada ya jamaa kugoma kuwapa pesa, miaka 17 demu jitu zima kabisa anabakwaje zaidi ya ×3 sehem tofaut... Wanawake wenyew wa Dar unawagonga kwa chips kuku na Savannah 4
 
Sheria inatambua hivyo. Ukitembea na binti chini ya miaka 18 hata akama amekubali mwenyewe maana yake umembaka kwa kumrubuni.
Yes now we're in the same page, hakuna makubaliano halali to have sex na underage
 
Pls wapi ninaweza kukitafuta kipengele hiki kinachoruhusu ndoa hizi,juzi kati Tanzania tulikua katika news mbaya, tunaongoza Africa kwa under age forced marriage, umri wa 15yrs huwezi kusema ana uwezo to apply her mind kuhusu ndoa, huu ni ushenzi na ukatili towards watoto wa kike
Kuna sheria Kama hiyo aliyoitaja but nafikiri age 16yrs inaruhusiwa kufunga ndoa ila ilidhiwe na wazazi na binti mwenyewe. Hii sheria wanaharakati wa mambo ya jinsia wanailalamikia kwa kuwa inapishana na tafsiri ya neno mtoto.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kesi... Kesi imeiisha hiyo...
Wazaz wanafosi mambo tu hapo nadhani baada ya jamaa kugoma kuwapa pesa, miaka 17 demu jitu zima kabisa anabakwaje zaidi ya ×3 sehem tofaut... Wanawake wenyew wa Dar unawagonga kwa chips kuku na Savannah 4

Kesi ipo hapo.

Jamaa anaenda jela kama utani kama hakimu akipata ushahidi unaoonesha ni kweli katembea na huyo binti.

Hakuna makubaliano ya ngono na binti china ya miaka 18. Labda awe mke wako tu wa ndoa halali
 
Hiyo kesi ni ngumu na ya kufedhehesha sana pengine LABDA daktari alikua na mahusiano na binti na ikaja kugundulika kwa wazazi wa binti, wakambananisha binti akaongea yote sasa wakaona wamuangushie jumba bovu daktari kwamba alibaka.

Kwa trend hiyo kwamba Kabakwa na kulawitiwa February 2022, mtu huyo huyo karudia tena kubakwa mei 31,2022 tena kabakwa nyumba ya wageni iliyopo temeke. Kwa nini asingeenda kushtaki hiyo hiyo february mara baada ya kubakwa mara ya kwanza? Hapo inawezekana kulikua na makubaliano japo daktari kafanya kosa kubwa sana kula mgonjwa wake
Unaishi Dunia gani bro'?

She is under 18.
 
Hapa kuna harufu ya rushwa iliombwa mshtakiwa akakaidi, binti akapewa shinikizo akubali kuwa alibakwa. inawezekanaje mtu kubakwa mara mbili!? Tarehe maeneo tofauti!? Hii sio kesi ndio maana dhamana iko wazi.
 
Kesi ipo hapo.

Jamaa anaenda jela kama utani kama hakimu akipata ushahidi unaoonesha ni kweli katembea na huyo binti.

Hakuna makubaliano ya ngono na binti china ya miaka 18. Labda awe mke wako tu wa ndoa halali
ina maana hadi hapo hujaelewa kwamba hakuna ushahidi..? Evidence inayohitajika hapo ni cheti cha Daktari kikionyesha kwamba ni kweli binti kabakwa... Na hiyo ithibitike siku ya kufanya mapenz 1. HAKUOGA ILI KUFUTA USHAHIDI 2. ALIENDA POLISI KUCHUKIA P3 NA KUFUNGUA RB. sasa niambie ktk mazingira ya kawaida tu haya yalifanyika..? Hiyo kesi nakuambia ukweli wazaz ndio wanaisukuma ila haina mashiko
 
Dkt. Joseph Mwaipola ambaye ni mtumishi wa Hospitali ya Amana Mkoani Dar es Salaam, leo Septemba 9, 2022 amefikishwa kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka matatu yakiwemo kumbaka mtoto wa miaka 17.

Shitaka hilo limesikilizwa mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Yusto Ruboroga ambapo mashitaka yamesomwa na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Sylvia Mitanto.

Shtaka la kwanza ni ubakaji, Wakili Sylvia amedai mshitakiwa alitenda kosa hilo Februari 2022 katika Hospitali ya Amana.

Shtaka la pili inadaiwa Mei 31, 2022 akiwa katika nyumba ya wageni ya Pazuri iliyoko Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam, mshitakiwa alimbaka binti huyo.

Shtaka la tatu ni kulawiti, mshitakiwa anadaiwa alitenda kosa Februari 2022 katika Hospitali ya Amana, ambapo alimlawiti binti huyo.

Mshtakiwa amekana mashtaka, upande wa mashitaka umeeleza kuwa upelelezi wa shauri hilo umekamilika na unaomba tarehe ya kumsomea maelezo ya awali.

Hakimu Roboroga ametoa masharti ya dhamana kuwa mshtakiwa anatakiwa kuwa na wadhamini wawili wenye barua ya utambulisho pamoja na Vitambulisho vya kura au vya kazi watakaotia saini dhamana ya Tsh. milioni tano.

Mshtakiwa aliweza kutimiza masharti ya dhamana, hivyo yuko nje kwa dhamana, kesi itatajwa Oktoba 5, 2022 kwa ajili ya kumsomea maelezo ya awali (PH).
dokta anaenda kufungwa maisha
 
Hapa kuna harufu ya rushwa iliombwa mshtakiwa akakaidi, binti akapewa shinikizo akubali kuwa alibakwa. inawezekanaje mtu kubakwa mara mbili!? Tarehe maeneo tofauti!? Hii sio kesi ndio maana dhamana iko wazi.
We Ni kilaza,kesi zote Zina dhamana,isipokuwa ya mauaji, robbery, money laundering,uhaini.

Acha kuropoka kwa usiyoyajua
 
Hiyo kesi ni ngumu na ya kufedhehesha sana pengine LABDA daktari alikua na mahusiano na binti na ikaja kugundulika kwa wazazi wa binti, wakambananisha binti akaongea yote sasa wakaona wamuangushie jumba bovu daktari kwamba alibaka.

Kwa trend hiyo kwamba Kabakwa na kulawitiwa February 2022, mtu huyo huyo karudia tena kubakwa mei 31,2022 tena kabakwa nyumba ya wageni iliyopo temeke. Kwa nini asingeenda kushtaki hiyo hiyo february mara baada ya kubakwa mara ya kwanza? Hapo inawezekana kulikua na makubaliano japo daktari kafanya kosa kubwa sana kula mgonjwa wake
hakuna makubaliano ya kimapenzi kwa binti under 18,muache ujuaji majinga nyie
 
ina maana hadi hapo hujaelewa kwamba hakuna ushahidi..? Evidence inayohitajika hapo ni cheti cha Daktari kikionyesha kwamba ni kweli binti kabakwa... Na hiyo ithibitike siku ya kufanya mapenz 1. HAKUOGA ILI KUFUTA USHAHIDI 2. ALIENDA POLISI KUCHUKIA P3 NA KUFUNGUA RB. sasa niambie ktk mazingira ya kawaida tu haya yalifanyika..? Hiyo kesi nakuambia ukweli wazaz ndio wanaisukuma ila haina mashiko

Kubakwa sio lazima aende polisi kuchukua RB ama daktari aweke kipimo.

Hapo ubakaji ni kitendo cha mtu mzima kuwa na mahusiano ya kingono na binti chini ya miaka 18 ambaye sio mke wako.

Ushahidi unaotakiwa hapo ni kujua je ni kweli daktari na huyo binti under age walikuwa na mahusiano ya kingono.

Ushahidi sio lazima kipimo cha daktari. Hata kitendo cha kuonekana gesti na huyo binti ni ushahidi wa kimazingira unaotosha kuprove kwamba daktari na binti huyo walikuwa na mahusiano ya kimapenzi. Swali Dr Gesti alifuata nini akiwa na huyo binti mdogo ?

Pia makampuni ya simu yatatoa ushahidi wa mawasiliano yao ya kupigiana simu na sms kama ni mtu na mpenzi wake ama nini

Binti atatoa ushahidi wake, watu wa gest watatoa wao, wazee wa baraza la mahakama watatoa maoni yao. Hakimu nae atatoa hukumu kwa kuunganisha dots tu.
 
hakuna makubaliano ya kimapenzi kwa binti under 18,muache ujuaji majinga nyie
Usikimbilie tu kutukana watu wajinga, hii dunia ina mambo mengi na kumbuka hujafa hujaumbika!

Kesi ya ubakaji inapohusisha nyumba ya kulala wageni, hizo ni dalili za kesi ya mchongo.
Huyo binti alienda kufanya nini kwenye vyumba vya gesti? Miaka 17 kwa binti ni anaelewa kila kitu, siyo mtoto huyo, anajua gesti wanafanyaga nini, aliingia vyumbani kufanya nini?

Binti wa miaka 17 kama ana mwili, anaonekana mkubwa tu, utajuaje kwamba ni under 18, kwani wanatembea na vyeti vya kuzaliwa?

Hizi kesi ni sahihi kwa wanafunzi, kama siyo mwanafunzi miaka 17 vingi ni vimalaya tu vilishakubuhu, huwezi kumkuta binti umri huo bikra kama hasomi shule.

Huyo daktari anatuhumiwa kumbaka zaidi ya mara moja kwa nyakati tofauti, ilikuwaje alikuwa hatoi taarifa mara zote hizo na wanaendelea kukutana kwa ajili ya ngono? Hujiulizi kwamba inawezekana walipishana makubaliano, au wazazi walipogundua wakamshinikiza binti kushtaki?

Ndugu, usikilimbilie kujidai una uchungu sana, hii kesi ina dalili zote za mchongo!
 
Kubakwa sio lazima aende polisi kuchukua RB ama daktari aweke kipimo.

Hapo ubakaji ni kitendo cha mtu mzima kuwa na mahusiano ya kingono na binti chini ya miaka 18 ambaye sio mke wako.

Ushahidi unaotakiwa hapo ni kujua je ni kweli daktari na huyo binti under age walikuwa na mahusiano ya kingono.

Ushahidi sio lazima kipimo cha daktari. Hata kitendo cha kuonekana gesti na huyo binti ni ushahidi wa kimazingira unaotosha kuprove kwamba daktari na binti huyo walikuwa na mahusiano ya kimapenzi. Swali Dr Gesti alifuata nini akiwa na huyo binti mdogo ?

Pia makampuni ya simu yatatoa ushahidi wa mawasiliano yao ya kupigiana simu na sms kama ni mtu na mpenzi wake ama nini

Binti atatoa ushahidi wake, watu wa gest watatoa wao, wazee wa baraza la mahakama watatoa maoni yao. Hakimu nae atatoa hukumu kwa kuunganisha dots tu.
Mi nadhani hii sheria ingebaki kwa wanafunzi tu, ambae sio mwanafunzi utajuaje umri wake?
 
Back
Top Bottom