Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Najiuliza sana hili swali ni nani alikuwa Daktari wa Rais Magufuli kipindi yupo Madarakani. Na alimpata wapi? Au alipendekezewa na nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kujua nini ? Kuwa muwazi mbona una umma meno ?
Pole Sana. Najua una maswali mengi kuhusu kifo cha chuma chetu lakini 2025 jibu litatokaNajiuliza sana hili swali ni nani alikuwa Daktari wa Rais Magufuli kipindi yupo Madarakani. Na alimpata wapi? Au alipendekezewa na nani?
Aliyemrecomend ni mkwere🤣🤣Le Professeri himself
Mchawi ni Ufipa stDaktari alimshauri mapema sana kuhusu afya yake, lakini mzee mwenyewe alikataa kata kata kupanda ndege kwenda ughaibuni kulikozaliwa matibabu ili kurekebisha afya ya moyo wake pamoja na kuikwepa Covid-19, wakati huo ndiyo imepamba moto balaa. Ndiyo hivyo tena..
Hapa mchawi hayupo ndugu, tujipange tu kuishi na CCM ya maza.
Mkuu, ukienda Hospitali ya Mzena utapata taarifa sahihi. Huku uraiani utapata majibu yenye kujaa hisia na mihemuko zaidi. Ila kwa wale wataalamu wa jadi kutoka Gamboshi mratibu wake mkuu alikuwa ni kipenzi chake.Najiuliza sana hili swali ni nani alikuwa Daktari wa Rais Magufuli kipindi yupo Madarakani. Na alimpata wapi? Au alipendekezewa na nani?