Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Prof Janabi ndiye Daktari wa The Late Pombe na Rt Prezdaa Jakaya.Najiuliza sana hili swali ni nani alikuwa Daktari wa Rais Magufuli kipindi yupo Madarakani. Na alimpata wapi? Au alipendekezewa na nani?