luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
Usidanganye mchana kweupe kila mtu anakutizama mkuu!Daktari alimshauri mapema sana kuhusu afya yake, lakini mzee mwenyewe alikataa kata kata kupanda ndege kwenda ughaibuni kulikozaliwa matibabu ili kurekebisha afya ya moyo wake pamoja na kuikwepa Covid-19, wakati huo ndiyo imepamba moto balaa. Ndiyo hivyo tena..
Hapa mchawi hayupo ndugu, tujipange tu kuishi na CCM ya maza.