Nchi zote zinazotuzunguka zimewahi kufiwa na Rais akiwa madarakani isipokuwa Uganda pekee, what's so special
Jomo Kenyata, Habyarimana, Nkurunzinza, Mwanawasa, Bingu wa mutharika na Samora Machel wote hawa walifia madarakani kwa sababu tofauti tofauti
Serikali ilishatangaza kupitia Rais Samia kuwa Rais Magufuli alifariki kwa ugonjwa wa Moyo uliogundulika kwa zaid ya miaka 10 kabla ya kifo chake
wanafamilia wake kuanzia Mama yake Mzazi hadi Dada zake walipata maradhi hayo kwa nyakati tofauti ikiashiria ni maradhi ya kurithi
lakin kwa kwenda mbali zaid Rais Samia alikaribisha watu wenye ushahidi tofauti na huo wajitokeze na wauweke hadharani, Karibu
Sent from my SM-G9500 using
JamiiForums mobile app